Hii ndio sura halisi ya mchungaji wetu...

Hii ndio sura halisi ya mchungaji wetu...

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, juzi mchungaji wetu alifanikiwa kwenda kutimiza sera na utaratibu wa chadema.

Hebu muangalieni alivyopendeza.....

Hii ndio sura yake orijino, nyingine feki tu

Hii ni hasara kubwa kwa watu wa Iringa kwani mbunge wao anatumia muda mwingi mahakamani na polisi kuliko kwenye shughuli za kimaendeleo

Jitambue!
IMG_0029.JPG
 
Kajipange upya.msigwa siyo saizi yako,utapata aibu.only if you can heed my call.
 
Sioni hoja yako hapo. Hivi lile sakata la rambirambi liliishiaje?
 
Hivi wewe ni mzima kweli ?!. Hata kama wewe ni mpuuzi, isiwe kwa level hii !
 
Ninamashaka na wewe lukosi upeo wako ukoje laiti ungekua iringa ndo ungejua ukweli kwa unayoongea na wananchi wanajua ukweli majibu yenu kesho kata ya nduli
 
Ninamashaka na wewe lukosi upeo wako ukoje laiti ungekua iringa ndo ungejua ukweli kwa unayoongea na wananchi wanajua ukweli majibu yenu kesho kata ya nduli
Msigwa anafanya mambo ya ajabu hana cha maana hata kama ukimkumbatia kiasi gani alishakuwa kama mtoto aliyekosa maadili.
 
Yaani huyu ndio Mchungaji! anaonekana kama kibaka fulani tu.
 
--------- na wajanja bila kujua jiangalie kwanza
 
Unayeongea ni mdogo wa nape. Msigwa Iringa usipime. Hashikiki mnavyomweka ndani mnamwongezea umaarufu
 
Jitahidi kuongeza uwezo wa KUFIKIRI...., kw kuwekeza muda wa kujisomea vitabu mbalimbali. Husaidia sana uwezo wa ujengaji HOJA!
 
Huyo ni kamanda kazini we najuwa umelegea legea ukiwekwa sero lazima wakate nyuzi
 
Mi ninae muhurumia hapo ni huyo kijana.
 
Unapopigania ukombozi suala la kuwekwa ndani ni la kawaida sana.Nadhani hata Mzee Nelson Mandela(R.IP),alipofungwa gerezani kupigania haki za weusi,ulikuwa hujazaliwa ndo maana unamshangaa 'mpiganaji' Rev.Msigwa.
 
Halafu wakishatoka Lupango wananyoosha mkono na kupanua vidole, hili nimeshaliona pia kwa LEMA, SUGU,MBOWE, KIGAILA, RWAKATARE, KILEWO etc ....
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, juzi mchungaji wetu alifanikiwa kwenda kutimiza sera na utaratibu wa chadema.

Hebu muangalieni alivyopendeza.....

Hii ndio sura yake orijino, nyingine feki tu

Hii ni hasara kubwa kwa watu wa Iringa kwani mbunge wao anatumia muda mwingi mahakamani na polisi kuliko kwenye shughuli za kimaendeleo

Jitambue!
IMG_0029.JPG

Chilisosi ume-notice kitu kwenye hii picha? Kamanda anaonekana mwenye furaha na tabasamu lililojaa bashasha, kama vile kuna kitu alikuwa amekimiss muda mrefu sasa ameshakipata.
 
Back
Top Bottom