Hii ndio sura halisi ya CHADEMA yetu pendwa

Nikupe "big up" GENTAMYCINE kwa mawazo na fikra pevu kwa CHADEMA ili wajenge chama imara cha upinzani.

Hilo litafanikiwa siyo tu kubali ulichokiita mwendelezo wa Visasi au Uhasama au kuendekeza uwongo, majungu na chuki ila kubadili kabisa safu ya uongozi wa chama.

Kama unavyodhani kuna tatizo mahala ndani ya Utawala / Uongozi wao wa juu kabisa, na mimi nahisi hivyo. Ushahidi ni maneno, lugha na matendo ya hao viongozi, yasiyo na chembe ya ustaarabu kabisa. Wanayatoa na kutenda pasipo tofauti na vichaa.

Kama kuwa kiongozi wa CHADEMA sifa ni uongo, unafiki, kuongea kwa sauti, na kutukana, basi kuna nchi CHADEMA itatawala na siyo Tanzania. Hata wendawazimu watawakimbia.

WATAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA
Maneno kuntu kwa ndugu zetu hawa labda waweke pamba masikioni.
 
Ha kumbe unataka ligi we punda beba mzigo watu wanufaike uweze danganya mtu kadanganye ma bosi wako kwaiyo ulitaka chadema kupambana wenyewe zidi ya majizi ya ccm. Kama watu wamekubali kuungana kwa lengo moja shida ipo wapi. Hopely your sick and I lack the name of ur illiness
Jamaa kakuchoma hadi kwenye mfupa. Na hiyo habari ya kiingereza bora ungeachana nayo tu maana lugha hizi wito. Zimekuja na Merikebu.
 
Sisi tunaotumia akili zetu kufikiri tulishatoka huko mapema. Chama cha kukaririshana na kusubiri chairman anasemanini.
Sijawai kuona mfuasi yeyote kusubutu kumpinga chairman wao. Ukijaribu unaitwa msaliti na lazima ufukuzwe.
Wakiambiwa chochote na watwana wao lazima wakubali.

NAWASIWASI HATA WAKIAMBIWA ACT WAZALENDO IMEANZIZWA NA KAMPUNI YS ACACIA WATAKUBALI.
CHADEMA walisema ACT ni ya Lowassa, baadae Lowassa akawachukua wao!

CHADEMA walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.

CHADEMA walisema atakayemchagua Lowassa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowassa kuwa mgombea wao wa Urais.

Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.

Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
 
Nikupe "big up" GENTAMYCINE kwa mawazo na fikra pevu kwa CHADEMA ili wajenge chama imara cha upinzani.

Hilo litafanikiwa siyo tu kubali ulichokiita mwendelezo wa Visasi au Uhasama au kuendekeza uwongo, majungu na chuki ila kubadili kabisa safu ya uongozi wa chama.

Kama unavyodhani kuna tatizo mahala ndani ya Utawala / Uongozi wao wa juu kabisa, na mimi nahisi hivyo. Ushahidi ni maneno, lugha na matendo ya hao viongozi, yasiyo na chembe ya ustaarabu kabisa. Wanayatoa na kutenda pasipo tofauti na vichaa.

Kama kuwa kiongozi wa CHADEMA sifa ni uongo, unafiki, kuongea kwa sauti, na kutukana, basi kuna nchi CHADEMA itatawala na siyo Tanzania. Hata wendawazimu watawakimbia.

WATAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA

Akhsante na nashukuru kwa kunielewa Mkuu. Tupo pamoja.
 
CHADEMA walisema ACT ni ya Lowassa, baadae Lowassa akawachukua wao!

CHADEMA walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.

CHADEMA walisema atakayemchagua Lowassa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowassa kuwa mgombea wao wa Urais.

Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.

Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
Basilisha heading!Unasema yenu halafu ndani unaikana na kusema yao!
Kachukue buku 7
 
ukiwa ccm unakuwa mtu wa ndio mzee lakini ukitoka ccm unatumia uwezo wa akili yako, hivyo chadema wako sahihi
Ukiwa CCM unakuwa mtu makini na mstaarabu, hata ukiudhiwa, hekima na busara zinatawala. Ushahidi ni jinsi CCM ilivyojenga utaifa na amani.

Kuanzishwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kumezalisha vichaa, waropokaji, waongo, wanafaki na kila aina ya watu waovu. Chanzo chake ni utitiri wa viongozi wasiojiheshimu na wenye uchu wa madaraka.

Nawasilisha.
 
CHADEMA walisema ACT ni ya Lowassa, baadae Lowassa akawachukua wao!

CHADEMA walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.

CHADEMA walisema atakayemchagua Lowassa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowassa kuwa mgombea wao wa Urais.

Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.

Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!
Zidumu fikra za zero form six wa chadema
 
mwanzoni niliamini viroba ndo viliwavuruga kumbe ni uwezo wenu finyu wa kuchambua mambo bila kufuata mkumbo?!!!!
sawa hatuwezi kuchambua mambo... wewe kwenye uzi wako hapo juu ni kitu gani umeona cha maana umekisema, nauliza tu si vinginevyo...
 
Watu wengine mna tabu sana aisee,
Kwa hiyo we miaka yote unakaa unaangalia tu CHADEMA imesema nini??
Huna labda Familia ya kuangalia hivi au ndugu wa kutembelea unaangalia CHADEMA,
Kwani mtoa mada kaongopa???? Punguza hasira mkuu jitafakari mwenyewe
 
Back
Top Bottom