WAZIWAZI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 1,815
- 1,575
CHADEMA walisema ACT ni ya Lowassa, baadae Lowassa akawachukua wao!
CHADEMA walisema CUF ni CCM B na hivyo hawawezi kuungana nao kuunda kambi ya upinzani bungeni, Hatimaye wakaungana nao kwenye UKAWA kisha wameunda kambi ya upinzani.
CHADEMA walisema atakayemchagua Lowassa akapimwe akili, Badala yake Wakamfanya huyo Lowassa kuwa mgombea wao wa Urais.
Sasa leo hii wametuambia ACT ni CCM B.
Mungu tu ndo anajua 2020 watasema nini kwa watanzania!!!! nawaza!!!