PostGE2025 Hii ndio Serikali ya viziwi ambayo haiwezi kuongea na Wananchi mtaani Samia, Nchimbi wala Mwigulu

PostGE2025 Hii ndio Serikali ya viziwi ambayo haiwezi kuongea na Wananchi mtaani Samia, Nchimbi wala Mwigulu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Ifahamu serikali isiyokubalika ipo tu Ikulu na bungeni kwasababu wananchi hawajachukua majengo yao, hawa hawawezi kusimama mbele ya umma hata mmoja tangu machafuko ya Oktoba 29 ambapo kumetoa mwelekeo wa msimamo wa wananchi jinsi watakavyofanywa watakapokuja mitaani.

Wananchi tumewakataa hakuna cha maridhiano wala bibi yake maridhiano, sisi tumewakataa tunataka nchi yetu. Hata watakapokusanya watu kwa matipa tutakinukisha.
 
Alisema yeye, siyo mimi wala wewe, wala yule.
Birds of the same feathers fly together! Makatili wanajuna na wema wanajuana
 
Hakuns hata mmoja kati yao anaeweza kusikilizwa na umma mitaani kwa sasa
Hakuna kwa sasa ngoja tuone hilo.....nani watamtumia ? Au watakumbatia tec kkkt na wengineo ? Na ma sheikh??
 
Back
Top Bottom