Hii ndio sababu ya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake kutokana na kazi wanazofanya

Tazama hiyo sehemu jamaa alipo yaani katumia tu fimbo kuzuia hilo jiwe na hapo ana imani kabisa na hiyo fimbo na anajiona yuko salama bila kujua ni hatari kwa maisha yake pindi hilo jiwe litakapodondoka
 
Du! Hatari gani hio! Likimwangukia watasema bahati mbaya... ajali kazini lakini hii ni kusudi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…