zitto junior


 1. Z

  Kwanini wanafalsafa wa kale wa Magharibi walitofautiana juu ya chanzo cha ulimwengu na uhai ?

  Historia ya binadamu na ustaarabu wake,inatusimulia na kutilia mkazo juu ya chanzo cha ulimwengu na vilivyomo. Achilia mbali usahihi wa nukuu hizo za kihistoria,hili ni somo kando na hapa halizingatiwi kwa sababu za kielimu na dharura ya muda. Anasema muandishi wa kitabu "Wanafalsafa wa kale wa...
 2. Salim A. Msangi

  The War of all ages, Holy Blood vs Unholy Blood (Bloodline)S01 Ep3

  Familia ya DuPont Kuhusiana na familia hii maelezo yake nimeyapata kupitia kitabu cha Fritz Springmeir, 13 Bloodline of Illuminati, Be Wise as a Serpant na The Big Secret cha David Icke. DuPont ni familia ya ukoo wa kifalme. Wamekuwa wakiitwa ni wafalme, lakini ikimaanisha ni wafalme wa ukoo...
 3. lifecoded

  The hidden meaning in the gospel of Thomas

  Natumai kila mmoja wetu humu ndani yu mzima wa afya njema kabisa,,,hivyo niombe sana modulators Invisible msiuhamishe uzi huu kwenye jukwaa la dini kwani una madini kibao kwa wana Itelligensia wa humu na niombe tu kwa wale ndugu zangu wafia dini ambao mmekuwa mkiyameza maneno kama yalivyo kwenye...
 4. Francis3

  USHAURI MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 KUHUSU COMB NA KOZI MBALIMBALI AMBAZO ZINAWAFAA KULINGANGA NA MATOKEO WALIOYOPATA

  Habari zenu, Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019. Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo...
 5. JESUIT MASTER

  Vatican Inamiliki Dunia

  Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Vatican inatumia 1.Jesuit. Wasomi na MaBingwa wa intelligence. Chunguza college na university zao na Theology seminar Zao dunian utaona Alumni wao wengi ni Maafsa Usalama Wengi dunian.Ma CIA director wakutosha. Na...
 6. SANCTUS ANACLETUS

  Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

  Wanahistoria, wanaharakati,wanateolojia na wanasiasa: Ni ukweli usiopingika kwamba historia ya Mambo mengi yaliofanywa na watu waliotutangulia ama imetusaidia katika kujirekebisha kutofanya makosa kama watangulizi wetu au imetusaidia katika kufanya mambo vizuri zaidi kuliko walivyowahi...
 7. Freddie Matuja

  Suala la Korosho: Mbunge Zitto anapotosha umma, JPM kafanya sawia kabisa

  1. UZALISHAJI KUPUNGUA: Uzalishaji ulipungua ulitokana na bad weather na sio vinginevyo. Taarifa ya wataalamu wa Kilimo wa kituo cha Utafiti Naliendele, taarifa ambayo Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa kaitoa leo mbele ya Mhe. Rais IKULU na Watanzania wengi tumeIsikia kupita vyombo vya...
 8. Astronomer The Great

  Kizazi cha Adam

  Shalom na Assalam aleykum Zamani nilivyokuwa na miaka saba nilikuwa nafurahi ninapo sikia mtu ana jina zuri liwe la kizungu au kiarabu au la kikabila bila ya kujua maana ya jina hilo lakini kwa sasa nimegundua uzuri wa jina ni maana haijalishi kama ni kiarabu au kizungu au kikabila Nikikumbuka...