Hii ndio sababu namfananisha Ole Sabaya na Moringe Sokoine

Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Haya wewe kichwamaji Nebuchadinezzer njoo umtetetee kichwa maji mwenzio hapa
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.

Nebuchadinezzer unakwitwa huku kwenye maneno yako ya busara 😁😁:

1. Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda!
2. Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.

Hiiiiii bagosha!
 
Jambazi sabaya kufananishwa na mzalendo sokoine ni matusi.
Sabaya usiku wa leo atakuwa katembezewa mshedede kwa kwenda mbere huko jela
 
Back
Top Bottom