Hii ndio sababu namfananisha Ole Sabaya na Moringe Sokoine

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
4,100
2,000
Yeye mwenyewe anashangaa akiusoma huu uzi, eti ni sokoine wa kizazi hiki🙉🤣
IMG_20210514_173038.jpg
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,079
2,000
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Msengerema sana we jamaa
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
10,607
2,000
Ndugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.

Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.

Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
Ukiona mikelele mingi ujue debe hilo ni tupu
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,534
2,000
Sokoine has nobody to compare with, kumlinganisha Sokoine na watawala wa sasa ni kumnajisi
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,540
2,000
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Nonsense
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
10,607
2,000
CV yake ya chuo siijui,ila nahisi ameelewa vyema masomo ya finance ya utakatishaji .ni mzuri na anafaa kwenda wizara ya ujenzi atapambana mabarabara yejengwe na akipelekwa wizara ya maji ataimudu vyema yale mahesabu ya ma enginiier ambao huiba kwenye vipimo.
Ofisa
Si mchukueni kwenye shirika lenu
 
Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
896
1,000
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
🤣🤣Mtu mkubwa sio, unazungumziaje zile clip akifanya uvamizi saa nane za ucku hotelin? Au ndo procedure za kuja kua mtu mkubwa nn!!!
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,785
2,000
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Labda tungeanzia kutaka kujua umri wako!
Sokoine huwezi mlinganisha na kibaka Sabaya hata kidogo maana hayo ni matusi.
Sokoine alichukia rushwa tofauti na huyu ambaye sio tuu alipokea rushwa, bali alipora fedha za watu. Ni mwizi.
Sokoine hakuwahi kuagiza mtu abambikiwe kesi au ateswe hata kwa mwenye kosa tofauti na hii ng'ombe.
Yaani kulinganisha ni matusi makubwa sio kwa Sokoine mwenyewe tuu, bali wale wote walio mheshimu na kumuenzi akiwamo Nyerere.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,459
2,000
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Sokoine kafa akimiliki mali zipi na sabaya kafukuzwa akimiliki mali zipi based kwa fyeo vyao,watanzania sio wajinga mnashindwa babadua Hata vitu vidogo ,kwamba kizazi Cha akina Mwl nyerere,kawawa, Sokoine , karume, n,k mnalinganisha na vijana wa Kipindi hichi ambao wamechanganyikiwa ( kauli ya mzee mmoja kwenye kikao Cha Rais na wazee)
Ukweli mpaka mda wazee walio kwenye utawala au uongozi na ambao wametulia ,mmepigwa bao Sana mnaojiita vijana mfano SABAYA,
Kipindi flan nilichangia uzi mmoja Hapa jf nikasema I wish ningekua huko hai nimchape makofi Sabaya sikumanisha Nina nguvu Sana za kushinda genge lake la wahuni wenzake ila nilimanisha nini ingekua dawa yake maana I know whom I am as man gifted by lord, japo sio mchungaji Wala nini ,Huyo siku moja angejikuta amejitundika just kwa kunigusa maana ningetenda then angekuja na kieleele na kundi lake na wangeumiza nyama but sidhani Kama kweli angestarehe vit virefu ndani ya week moja vyovyote najua tu angepelekwa kwao umasaini japo Sina uhakika na kabila lake
Sabaya we,sabaya we yote kwa yote anza kutubu,
1. Rudisha mali zote ulizochuma kupitia dhuluma ,zote
2. Unatakiwa kutubu kwa kusaidia wasio jiweza one by one wasipungue 847
3.umalizapo hapo omba msamaha watz na kumrudia mungu
Ukifanikisha utaishi kwa taha vinginevyo jiandae kufa kifo usichostahili asema bwana
 
malang0

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
418
500
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Kuongozwa na sabaya never and never again
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,459
2,000
Nimesoma mahali, wanasema baba yake pia alikuwa mwovu sana.
Yaani dogo amekopi na kupaste.

Lakini huwa tunawambia kuwa UOVU HAUSHINDI kwani baba wa uovu ni shetani ambaye ameandaliwa ziwa liwakalo moto wa milele.
 
castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
1,113
2,000
Ndugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.

Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.

Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
Kwa huuu upuuzi na first degree madness hatakama uwe nani siwezi kukuheshimu
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,739
2,000
CV yake ya chuo siijui,ila nahisi ameelewa vyema masomo ya finance ya utakatishaji .ni mzuri na anafaa kwenda wizara ya ujenzi atapambana mabarabara yejengwe na akipelekwa wizara ya maji ataimudu vyema yale mahesabu ya ma enginiier ambao huiba kwenye vipimo.
cv huijui halaf unasema "finance ya utakatishaji" kwanza hakuna coz kama hiyo duniani.
pili wizara ya ujenz wanapelekwa wasomi. si watu wa kuunga unga.
ile ni moja ya wizara complex.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,459
2,000
Ndugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.

Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.

Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
Who care about your income , sikiliza pesa haitakuzika,but utazikwa na WATU ,utaoza , utabaki peke yako nje pasipo na 6by 6 sofa au raha yoyote ya dunia and then utabaki skeleton, Bahada ya mwili wako kuoza ,na kushambuliwa kila aina ya wadudu ukiwa futi za kutosha, nyumba , fedha , mke/ mme ,watoto,rafiki ,chama hutokua navyo ,so jifunze kutenda mema angali hu hai ,kujibu unapesa/ utajiri hii haikusaidii lolote
Imefika mda WATU Kama nyie may tuanze ambizana ukweli kwamba sie binadam ni mbolea tu ila ROHO mungu ndo anajua wapi ukaa, angalau mue na hofu ya mungu
 
kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
878
500
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Nonsense na Upumbavu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom