Hii ndio sababu namfananisha Ole Sabaya na Moringe Sokoine

Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Acha kumfananisha sokoine na takataka yako hiyo.
 
Zaidi ya yote, watu tujifunze kumtegemea mungu peke yake. Maana imeandikwa kuwa amelaaniwa amtegemeaye binadamu mwenzake, vinginevyo ndo haya ya kina Sabaya baada ya mtetezi wao kutokuwepo, na wenyewe kwa muda mfupi tu wanaanza kuteseka kama wako sayari nyingine.
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Naona Sabaya mwenyewe umeanza kutapatapa. Tulia malipo ni hapa hapa duniani. Utalipa uovu wako wote hapahapa.

Mama amekuwekea kamba ujinyonge mwenyewe. Chezea mama weye?
 
CV yake ya chuo siijui,ila nahisi ameelewa vyema masomo ya finance ya utakatishaji .ni mzuri na anafaa kwenda wizara ya ujenzi atapambana mabarabara yejengwe na akipelekwa wizara ya maji ataimudu vyema yale mahesabu ya ma enginiier ambao huiba kwenye vipimo.
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Kabla yakuandika huu upupu wako ungetoa kwanza hiyo picha ya Tundu lisu alafu ndo ukaanza kumsimfia huyo jambazi wako Sabaya!

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Upumbavu mkubwa sana huu! Vijana wa siku hizi mnashindwa wapi?!!!!
 
Wote ni madikteta hawana sifa hata moja ya kuitwa viongozi.Wameongoza maiti kwa Jamii ya watu walioelimika na kustaarabika hata nafasi ya kuongoza mtaa wasingepata.
Mbona Lowasa ni mmasai na yupo vizuri kuliko hao.Hao walitumia mda wao kupambana na watu kuliko kupambana na maendeleo.
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Hazina ya taifa unapora mali za watu walizokusanya kihalali?.

Hazina ya taifa unaingia hotelini usiku kwa nia ya kwenda kufanya mapenzi kinguvu na mwanamuziki kisa cheo chako?.

Hazina ya taifa unalazimisha mfanya biashara akupe pesa kinguvu tena zaidi ya mara moja?.

Suala ambalo limemharibia heshima hayati JPM ni kuendekeza vijana waonevu kama huyu dogo, kufumbia macho uporaji na dhuluma.

Siku zote mwisho wa unyama ni lazima ukurudie wewe mwenyewe.
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Nina wasiwasi na IQ yako yani kama ulienda shule basi hujaelimika
 
Halafu mwenyekiti wa ccm anamsimamisha kazi kwa uchunguzi 🙄🙄. Sijui nani hawa wapya wanamshauri.
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Kama ujasiri ni matendo aliyofsnya Sabaya,basi vibaka wote wanaobaka na kudunga visu watu pale Kawe ni majasiri,Sabaya ni mwizi tu,unavyomfananisha na sokoine,unasabsbisha mzee sokoine apate huzuni huko alipo.
Kipindi Cha sokoine kilikuwa kipindi Cha vita baridi,Nyerere alikuwa anajaribu kujenga nchi baada ya kupata uhuru,hatukuwa na vyombo vya kisheria na kiuchunguzi kama sasa hv,sasa hv,tuna Takukuru,polisi,fraud agency,matendo aliyotenda Sabaya huku akiangsliwa na JPM,ni ya kijambazi
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Mademu wa Sabaya mnahangaika kweli kumtetea kibaka wenu
 
Huna aibu wewe,unathubutuje kumlinganisha Sokoine na mtesaji, mtekaji, mnyang'anyi na mbakaji?
 
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.

Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu huwa hawataki kupindisha mambo linapokuja suala la haki na sheria.

Sokoine alichukiwa sana! Hii yote ilisababishwa na kufuata sheria. Hakuangalia nani ni nani! Alitaifisha mali za watu walizozipata kwa njia zisizoelezeka...matajiri walimchukia sana.

Kwa kizazi cha leo, kila mwanasiasa anaweza kusema mengi mazuri juu ya Sokoine kwa sababu ameshakufa.

Tofauti ya Sabaya na Sokoine ni muda! Sabaya ametokea kipindi ambacho utandawazi umekua.

Sabaya bado kijana mdogo sana, wewe ni hazina ya taifa...mark my words utakuja kuwa mtu mkubwa sana kwa badae hapa nchini.
Ngoja uchunguzi ukamirike, kama hatakuwa na hatia ya kubumba au ya kweli ndio ulete huu uzi! Lakini hata hivyo sikumbuki Sokoine kuwa mkuu wa wilaya!
 
Ndugu yangu mimi familia yangu ni ya wafanyabiashara kizazi na kizazi...kuhusu pesa zipo tena sana.

Hata kabla ya ukoloni familia yetu ilikuwa inaheshimika sana.

Una bahati hatutumii true identity zetu...ungekuwa unanisalimia kwa kupiga magoti.
Bill gates to hawezi kusalimiwa we una ela gani au za kukaa kaunta na kunywa kvant
 
Back
Top Bottom