Hii ndio sababu halisi ya zanzibar kutaka kujitenga na bara

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
9,393
2,000Hali yangu Leo imeendelea vema sana,Leo jioni nimejifunza jambo nzuri sana,Kwa nini Zanzibaar inataka jitenga na Tanganyikaaa,Pia kwa nini Rwand,Ugandaa and Kenya Iliamua Kuitenga Tanzania na kuiita ni mzigo?Kweli Bara ni Blaa Blaa! Moja wezetu wamejianda kweli kweli,ukitizama wana plan ambazo wanatekeleza,wanaishi maisha na sio tu wapo kama Bara!Ukitanzama Zanzibar ni utalii kwelikweli,kila mtu yupo aware na namna ya kuongea na wageni,vivutio ni vingi sana,Zanzibar Last time
kuja ilikuwa 2011 nikiwa AIESEC Achievers conference,Ukiingalia utakuta Raia wa Kizungu ni wengi Hata wanaweza kuwazidi idadi ya wazawa Hapa,Kila mtu anataka abaki Hapa akija coz vivutio ni vingi sana,Ukiangalia Tu Bara ukiitoa Arusha na kilimanjaro,Kulikobaki bado Hawajaandaliwa kujua utalii ni nini?mfano Daresalaam wameruhusu kubomolewa majengo ya zamani tizama pale posta askari monument,wamebomoa majengo ya Zamani wanajenga ya kisasa,akili zao zinafikiri watalii wanatoka nchi zao kuja Tz kutizama majengo mapya?Akili za ajabu kama Hizi zinazofanywa na viongozi Vilaza zinasababisha Hata vijana waliokuwa mtaani Kuingia nao kwenye siasa baada ya kuona vitu vidogo vimewashinda kufanya viongozi vilaza waliko manispaa na serikali wameshindwa!NAJIULIZA KWA NINI DARESALAAM SIO MJI WA KITALII WAKATI UNA SIFA ZOTE?
......
Haya ni mawazo ya DEO KILAWE...MANAGING DIRECTOR WA MIKONO BUSSINESS....
 
Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,200
2,000
Mbona kilichoandikwa nacho hakieleweki. Kujenga majengo ya kisasa ni kosa?
 
mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,007
2,000
duh! hivi huu muungano umeshikwa na watanganyika tu? wamelazimishwa? znz kuna kivutio gani cha kitalii kinachoitangaza tanzania worldwide?
 
Access Denied

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
648
250
Nilitaka nielewe heading yako lakini contents imenifanya nipoteze mwelekeo wa ulichotaka kutueleza.
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,143
2,000
Managing Director vipi tena bwana. Unaandika kama nanihii. Ukiitwa Managing Director ni lazima uwe systematic. Samahani lakini.
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,707
1,225
duh! hivi huu muungano umeshikwa na watanganyika tu? wamelazimishwa? znz kuna kivutio gani cha kitalii kinachoitangaza tanzania worldwide?

Wewe simzima!
Ungekua karibu ningekunusa mdomo!
...
Zanzibar ni ndogo but inavivutio vingi sana kwa watalii!
Beaches: eg: kiwengwa, paje, mangapwani, uroa nk!
Haimanishi Tanganyika hakuna, but swali la kujiuliza hizo beaches zinatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Jonzani and ngezi: ni vijimsitu vidogo tu but vinawatalii wengi!
Hata ngedere wa jonzani wanamjua mtalii na kumkimbia hata akiwa mweusi!
just jiulize hao masimba wenu wanawakimbilia watalii?
...
Hotel zenye vivutio na usalama wa kutosha!
Nungwi ni kajimji kadogo but kina hoteli nyingi kuliko nyumba za kuishi!
Ninyi watalii mnawaibia!
...
Mji mkongwe! Hapa ata siongei!
...
Maji safi na bure!
...
Miji ya kihistoria na arts: eg: Makunduchi, kizimkazi, paje, bungi miembe mingi etc!
Sikama nanyi hamna hiyo miji but inatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Subiri kesho apo tuone hatma ya rasimu!
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,707
1,225
Likud Wanzanzibar ni wachowo na wavivu, but Tanganyika ni Mzizi wa underdevelopment of Zanzibar!
Vizuri Wazanzibari wameamka!
...
Tusubirie rasimu!
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,253
2,000
Wewe simzima!
Ungekua karibu ningekunusa mdomo!
...
Zanzibar ni ndogo but inavivutio vingi sana kwa watalii!
Beaches: eg: kiwengwa, paje, mangapwani, uroa nk!
Haimanishi Tanganyika hakuna, but swali la kujiuliza hizo beaches zinatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Jonzani and ngezi: ni vijimsitu vidogo tu but vinawatalii wengi!
Hata ngedere wa jonzani wanamjua mtalii na kumkimbia hata akiwa mweusi!
just jiulize hao masimba wenu wanawakimbilia watalii?
...
Hotel zenye vivutio na usalama wa kutosha!
Nungwi ni kajimji kadogo but kina hoteli nyingi kuliko nyumba za kuishi!
Ninyi watalii mnawaibia!
...
Mji mkongwe! Hapa ata siongei!
...
Maji safi na bure!
...
Miji ya kihistoria na arts: eg: Makunduchi, kizimkazi, paje, bungi miembe mingi etc!
Sikama nanyi hamna hiyo miji but inatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Subiri kesho apo tuone hatma ya rasimu!

Umeenda vizuri, ongezea na CHUMBE mkuu!
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,336
2,000
Kila mtu duniani ana kitu ambacho anatamani kitokee akiwa hai,mchumi mmarekan Rosto alitaman katika uhai wake soviet ianguke,kweli ilitokea akiwa hai,kim jong il wa korea kaskazn alitaman nch yake iwe na teknolojia ya nuklia,alifanikisha,mimi katika maisha yangu natamani muungano uvunjike,toka nimezaliwa had sasa sijaona umuhm wake wala faida yake,na kwa kua mm bado kjana na kwa mapenz ya mungu ntashuhudia hii kitu ikitokea hv karibuni,Tanganyika yangu irudi.
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,316
0
Ungekua mzima usingeandika haya. Utalii ni kitu kinachoingiza hela za kigeni lakini madhara yake ni makubwa sana in the long run. Angalia nchi kama Jamaica. Sheli sheli. Mauritius. Israel. hata kisiwa cha Mombasa hapa jirani. maadili ni ziro. familia zenye baba na mama hazifiki asilimia ishirini. Umala.ya nje nje kujamiiana kinyume na maumbile etc. hayo ndio unaona ni maendeleo kaka. Kalagabaho
 
Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,790
1,500
Kweli huyu ni menejingi dairekta,duh!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,337
2,000
Mr Money-jinga Dai-lecture ndo umeandika upuuz gan hapa? kwan Wazanzibar walilazimishwa muungano, KAMA MUMEO HUMTAKI SI UDAI TALAKA!! Haya wake zetu Wazenji, semeni mnataka talaka ngapi ...!

Sent from my calculator using BAN deactivator
 
kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
899
1,000
Wewe simzima!
Ungekua karibu ningekunusa mdomo!
...
Zanzibar ni ndogo but inavivutio vingi sana kwa watalii!
Beaches: eg: kiwengwa, paje, mangapwani, uroa nk!
Haimanishi Tanganyika hakuna, but swali la kujiuliza hizo beaches zinatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Jonzani and ngezi: ni vijimsitu vidogo tu but vinawatalii wengi!
Hata ngedere wa jonzani wanamjua mtalii na kumkimbia hata akiwa mweusi!
just jiulize hao masimba wenu wanawakimbilia watalii?
...
Hotel zenye vivutio na usalama wa kutosha!
Nungwi ni kajimji kadogo but kina hoteli nyingi kuliko nyumba za kuishi!
Ninyi watalii mnawaibia!
...
Mji mkongwe! Hapa ata siongei!
...
Maji safi na bure!
...
Miji ya kihistoria na arts: eg: Makunduchi, kizimkazi, paje, bungi miembe mingi etc!
Sikama nanyi hamna hiyo miji but inatambulika vipi?
Wizi mtupu!
...
Subiri kesho apo tuone hatma ya rasimu!

Mbona miteja haujaizungumzia mana mateja wengi kuliko wasotumia sembe nacho ni kivutionwanakuja kushangaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom