Tuliopita walau sekondari na kujaribu kuhudhuria vipindi vya Hesabu mtakumbuka Kanuni na Hesabu za "Sequence and Series "
Wakati tunajifunza hesabu, wale waliokuwa hawazipendi walikuwa wanatukatisha tamaa sana, waliibuka wakisema sasa hesabu hizo zina application gani kwenye Maisha?
Hao hao leo wanajionea wenyewe kuwa hesabu zina application baada ya kusikia mapato ya serikali kwa mwezi kupitia TRA ni Tril 1.1 (July) , Tril 1.2 (August) na 1.3 (September). Mfuatano wa Mapato hayo kwa namba umewakumbusha HESABU na Principle ya Sequence and Series. That is;
A1=1.1, d=0.1
A4=A1+3d
Where by A4=Octoba
A4=1.1+3(0.1)
A4=1.1+0.3=1.4
Octoba=Tzs Trilioni 1.4
Kwa maana nyingine, kwa sheria za sequence and series zinabashiri (zinabet) mapato ya Mwezi October kuwa Tril 1.4 Bila kusahau kuwa taarifa ya September yote ilikuwa tayari inafahamika kwa mtazamo wa Principles of "Sequence and Series",
Hapo ndipo ujue kuwa hakuna topic hata moja ya hesabu inakosa "application" katika Maisha ya kawaida.
Unaweza kuamua kuelewa au kujilazimisha kutoelewa.