Hii ndio operation red wing 28.05.2005

mnamo tarh 27.06.2005 usiku (makomando) wanne vijana kutoka jeshi la marekani, walishushwa katika kilele cha milima duuuh interesting story

THE SNIPER.
 
mnamo tarh 27.06.2005 usiku (makomando) wanne vijana kutoka jeshi la marekani, walishushwa katika kilele cha milima duuuh interesting story

THE SNIPER.
Part two coming soon...stay tuned
 
mnamo tarh 27.05.2005 usiku (Makomando) wanne vijana kutoka jeshi la Marekani, walishushwa katika kilele cha milima duuuh interesting story
Utuletee mrejesho part2

THE SNIPER.
 
Hii movie niliangalia sikuielewa Sasa Walau Nimepata mwanga wacha niangalie tena
 
Eti the powerfull army duniani,wanaenda pigana na wanamgambo wakimsaka kiumbe mmoja,maisha ya watu yanapotea na bado wanamkosa,wajipime sana kimahesabu
 
Kutafsiri muvie za wenzenu kwa sasa nikosa kisheria hivyo futa uzii huu ni ushauri tu

 
Lone survival hata walioigiza waliitendea haki sana but all in all imepata cha kujifunza, wanajeshi wanajitoa sana kwa ajili yetu na wenzao pia. Mtu anakubali kufa kwa sababu ya mwenzie ambaye ni majeruhi na hawezi kumuacha akiwa katikati ya vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…