Hii ndio noti ya dollar trillioni 100

Hii ndio noti ya dollar trillioni 100

mkuu sijui hivyo vi blog ulivyo google ndio vimekupa hizo takwimu. jaribu kutulia uusome vizuri uchumi wa zimbabwe kisha njoo tena u-comment. sio unaona thread hujui ata kinachozungumzwa unakimbilia ku google kwenye vi blogu unavyovyijua ww kisha unaanza kubishana.
naambatanisha link ya wikipedia hapa chini, hebu pitia uisome ndio uje kuandika tena.

Zimbabwean dollar - Wikipedia
062720d900bf213ff9760440364edbc0.jpg


Soma hapo same link ulontumia boss get
 
062720d900bf213ff9760440364edbc0.jpg


Soma hapo same link ulontumia boss get
hii pesa ilikua reenominated 3 times, huku 3rd denomination ikiwa na highest inflation rate ever recorded on the surface of planet earth. its value was falling each day. ndio maana baada ya kuona hawawezi tena ku control value ya pesa yao ndipo wakaamua ku adopt other nation's currency as a legal tender ikiwemo US dollar, SA rand, Indian rupee etc. mkuu soma ndio u-argue. usibishane tu bila ya kuwa na knowledge husika, utaonekana mjinga.
 
Habari zenu wadau,

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.

View attachment 504315

update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.

100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar

na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.

Update 2:

Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).
100 trillion Zimbabwean dollar =850 tshs duh
 
Either way saivi wanakubalo almost all popular currency wakato USD ikiwa imepata shavu la kuplay all Goverment transactions
 
you do realise kama mie ndio mtoa mada right? maana hapo ume quote comment yangu nlioku reply then una ongea contrary na mtoa mada ambae ni mimi tena huyo. "confused" hivi unasoma kweli kinachoandikwa mkuu?
Hii ni ile ya chizi kuplay doctor msamehe bure
 
you do realise kama mie ndio mtoa mada right? maana hapo ume quote comment yangu nlioku reply then una ongea contrary na mtoa mada ambae ni mimi tena huyo. "confused" hivi unasoma kweli kinachoandikwa mkuu?
Nimesha note tayari,i have confused,tunaperuzi mitandao mbali mbali that is why it happens to be like that... hope you understood me.
 
Inaonekana arsenal inampa ukichaa mzee mugabe mpaka anashindwa kumanage thamani ya pesa za nchi yake manake nilivyosikia trion nikaogopa kumbe bwashasha tu.
 
Either way saivi wanakubalo almost all popular currency wakato USD ikiwa imepata shavu la kuplay all Goverment transactions
Hiyo ndiyo power ninayo itaka mimi maana Ghadafi alikuwa nayo! Na akacheza na dhahabu na mafuta! Ehh Mwenye Enzi Mungu tusaidie waafrica milele!
 
Back
Top Bottom