Hii ndio njia pekee ya kumpata mwanamke

Hii ndio njia pekee ya kumpata mwanamke

Wakuu kwema,

Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano.

Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na muda wako hili ni muhimu sana, na vizawadi vidogo vidogo na outing moja moja, fanya hivi kwa mda wa mwezi mmoja au miwili tuu alafu acha kumpa.

Kwanini mwanamke anavutiwa na anachokiona. Ila baada ya mda kama miezi miwili kausha usiwe unampa tena hela. Unakua unampiga tuu kiswahili, hapa ndo ataanza kuteseka yeye.
Inategemea ntu na ntu...😂😂
 
Sijui huwa mnakwama wapi????... Mbona wanawake pesa kwao siyo kipaumbele, hivi unajua ukimbana Mwanamke kwenye engo zake hata ya aliyachiwa ya matumizi atakupa wewe yeye abaki empty?? Jitahidi kutambua hitaji la mwanamke wako katika mapenzi ni Nini, usikariri kwamba mwanamke yake pesa utaliwa pesa yako na mapenzi hutapata shauri yako
 
Back
Top Bottom