Hii ndio njia pekee ya kumpata mwanamke

Hii ndio njia pekee ya kumpata mwanamke

Wakuu kwema,

Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano.

Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na mda wako hili ni muhimu sana, na vizawadi vidogo vidogo na outing moja moja, fanya hivi kwa mda wa mwezi mmoja au miwili tuu alafu acha kumpa.

Kwa nini mwanamke anavutiwa na anachokiona. Ila baada ya mda kama miezi miwili kausha usiwe unampa tena hela. Unakua unampiga tuu kiswahili, hapa ndo ataanza kuteseka yeye.
Toa ujinga wako hapa sio kwel mm nilihonga kifurushi cha sms cha buku mwazo wa mahusiano namzigo nikapewa! Adi leo ni beib wng napata chochote ninachotaka kutoka kwake
 
Nyie kuna watu wenye mioyo yao na wamebarikiwa sio kitoto mjue!! Pia they care na wana utu!![emoji8][emoji8]
 
Wakuu kwema,

Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano.

Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na muda wako hili ni muhimu sana, na vizawadi vidogo vidogo na outing moja moja, fanya hivi kwa mda wa mwezi mmoja au miwili tuu alafu acha kumpa.

Kwanini mwanamke anavutiwa na anachokiona. Ila baada ya mda kama miezi miwili kausha usiwe unampa tena hela. Unakua unampiga tuu kiswahili, hapa ndo ataanza kuteseka yeye.
Jidanganye[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom