Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
bei gani nakihitaj chapchap sama
mkuu nimewaza pi kama si hivi kitakua hakijasaidiaMke kakinunua, mume naye kanunua (wote ni wasomaji), vipi hapo (with the same knowledge) hawatokamatana kweli!!
Najaribu kuwaza tu!! Nilidhani muandishi angeandika viwili (kimoja kwa wake na kingine kwa waume)