Hii ndio nguvu ya Upendo

Hii ndio nguvu ya Upendo

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,086
Upendo ni kitu pekee ambacho hugusa hisia za moyo kwa nguvu ...huona kisichoonekana kwa macho...trust me hata yule dada wa uwanja wa fisi anae aliyewahi kuugusa moyo wake ...hata yule jamaa anaejifanya hayo mambo hayapo katika maisha yake... Anae aliewahi kuugusa moyo wake..

Na hii ndio nguvu ya upendo..

Muda mwingine upenda palipodhaulika.

Una jicho la tatu ...huona ndani ya mtu na ndio maana ni ngumu kusahau..kilichofanyika ndani ya upendo wa watu wawili waliopendana.

Upendo ubadilisha watu tabia... Kutoka nzuri kwenda mbaya au kutoka mbaya kwenda nzuri.. Hata jambazi akikutana na aliempenda akamwambia hacha tabia hiyo tuanze maisha ...yuko tayari kuacha..trust me.

Upendo uvumilia..
Upendo huleta tabasamu ..
Upendo ni utajiri...

Huwa na sikio linalosikia upande mmoja tu. Pale lilipopenda.. Na ndio maana ni ngumu kumshauri mtu aliyependa sana kumuacha mwenzake ..hata kama anapata mateso pale alipo ...kumshauri kumuacha mwenzake ni sawa na kumuongezea kaa la moto ndani ya moyo wake kwani ni jambo ambalo hataki kulisikia kwa wakati huo. Mara nyingi kwa wakati huo anataka kusikia mtu akimwambia vumilia ...hata kama wewe mshauri unaona haya hayavumiliki ..

Na ukiona mtu anabisha katika hili jua kuwa hakuwahi kupendwa wala kupenda...
 
Basi nitakua sijawahi kupendwa au kupenda .

Ila sitokaa nijigeuza kua mshumaa yaan naunguaa naishiliaaa ,nikijipa moyo karibu kupambazuke hahaahhahah iyo nawaachia nyie Mkuu !!

Ivi unajua kuvumilia tatizo kwa muda mrefuuuu ,hubadilika kua sumu namatokeo yake nieither umdhuru mtu au ujidhuru mwenyewe??

Ndio mapenzi ya nguvu ila
Fahamu sometime letting go...is the best way to goooo.... Usiishi ktk mahusiano kivuli, usiishi ktk mahusiano unayojua hamna kitu hapa nimaumiv ,utapoteza muda,nguvu, pesa ,eti tu kwa hisia siku moja atabadilika akupende hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...
 
kupendwa raha sana,ni wajibu wangu kuurudisha upendo mara 2 yake,
 
Nawapenda sana wale ninao wapendaga tatizo linakuja kwa wale ninaowapendaga ndio huwa hawajuwagi thamani ya upendo wangu kwao
 
Basi nitakua sijawahi kupendwa au kupenda .

Ila sitokaa nijigeuza kua mshumaa yaan naunguaa naishiliaaa ,nikijipa moyo karibu kupambazuke hahaahhahah iyo nawaachia nyie Mkuu !!

Ivi unajua kuvumilia tatizo kwa muda mrefuuuu ,hubadilika kua sumu namatokeo yake nieither umdhuru mtu au ujidhuru mwenyewe??

Ndio mapenzi ya nguvu ila
Fahamu sometime letting go...is the best way to goooo.... Usiishi ktk mahusiano kivuli, usiishi ktk mahusiano unayojua hamna kitu hapa nimaumiv ,utapoteza muda,nguvu, pesa ,eti tu kwa hisia siku moja atabadilika akupende hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...


Ukichunguza vyema maandishi yako utagundua hujampinga mtoa mada kama ulivyodhamiria bali umeongezea nguvu hoja yake.

NGUVU YA UPENDO.
 
kwanza pole rafiki Llio,ujue nini?haya mambo ni kupiga goti tu na kumuomba Mungu akuonyeshe mapema kama uliyenaye ni wako,maana wengi tunaumia sababu tunaowapa upendo sio wetu,ni kuomba Mungu tu kama wako mambo yatanyooka hata kama vikwazo mtavivuka
Kama kweli vile nyiye ndio huwa mnasumbua sana kwenye mahusiano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom