Hii ndio New World Order

1.Download tor browser kwenye pc yako
2.download vpn (express vpn au yyte free)
3.ziba camera yako ya mbele ya pc kwa plaster au chochote kitakachoziba camera(hii ni safe kwa maana unaweza kujikuta mikononi mwa hackers na waka access camera ya pc yako ukawa una rekodiwa bila kujua.
4. Fungua vpn
5.fungua tor browser
6. Ukitaka link check google anza na hidden wiki maana ina link nyingine nyingi tu utapata uzoefu kikubwa ujue unachofanya
Asante kwa very good information
 
Mnapotoa hizi Thread hebu tupeni na miongozo ya vitabuni
try to find this book.
Screenshot_2021-09-06-21-27-44.jpg
 
HHakuna
Now if its an end of world basi let it be bcz ata Mungu mwenyewe i feel kachoka

Embu oneni now dunia imefika maala ambapo ndoa za jinsia moja zinafungwa kanisani!!!?

Naisi its true God love us and he decided to kill us through sleeping wazungu wanaita sleeping beauty

Bcz aliapa ato angamiz dunia kwa maji o moto but through vita eg ww1, ww2, njaa eg somalia etc, na magonjwa now we see i janga

What i feel today nikua many of us we loose hope if tutakumbuka 1 thing kua since2019 ambapo china they start,, mpaka now imefika africa means itakua imeanz ingia lini?? Aise we have to wait
Kiukweli mkuu! Hakuna kilichobadilika wala kuzidi. Tangu enzi ushoga ulikuwepo, wafuraji walikuwepo hata vitabu vya DINI vinataja mambo haya ILA kwangu mimi utofauti ninaouna ni kuwepo KWA mabadiliko ya kiteknolojia si kweli zamani haya mambo hayakuwepo ni vile saiv kupata taarifa ni rahisi tofauti na zamani.
 
Back
Top Bottom