Hii ndio New World Order

fungi6

JF-Expert Member
Nov 24, 2017
292
261
Kumbe huu ulikua ni mkakati wa mda sana kuusiana na jinsi yakupunguza population duniani na ndo maaana hata aueleweki bcz unakua na maaana nyingi nyingi aupo clear kila mtu na chake alicho nacho moyoni hii ndo conspiracy ambayo amna mtu mwenye uelewa nayo hata apa jf wapo watakao jitokeza sema yao kulngana na walicho kisoma kutoka sehemu tofauti tofauti

Ila jambo ambalo lakujiuliza apa ni mengi lakwanza kubwa ni ili

Je kulikua na ulazima wa new world order kuandikwa kwenye dollar ya marekani
Ambayo ina nguvu duniani??

“Novus Ordo Seculorum" au ni mimi pekee nimeona i kitu? I niki lugha ganj ? But i hope niki latin means new secular world if not mistaken, lakini it steel a conspiracy, kwangu

Maana what about this

Screenshot_20200430-221747.png

Steel new world order its conspiracy, but naamini kua ni kweli maana ukisearch mno unona wanakwambia its political matter and ukizidi fwatilia wana ku brainwash

I feel am washed my brain so ukichangia please usini hutumu bali fundishs walio wengi wasomaji kuliko wajibuju

NB, i feel am washed my brain...
 
Now if its an end of world basi let it be bcz ata Mungu mwenyewe i feel kachoka

Embu oneni now dunia imefika maala ambapo ndoa za jinsia moja zinafungwa kanisani!!!?

Naisi its true God love us and he decided to kill us through sleeping wazungu wanaita sleeping beauty

Bcz aliapa ato angamiz dunia kwa maji o moto but through vita eg ww1, ww2, njaa eg somalia etc, na magonjwa now we see i janga

What i feel today nikua many of us we loose hope if tutakumbuka 1 thing kua since2019 ambapo china they start,, mpaka now imefika africa means itakua imeanz ingia lini?? Aise we have to wait for mascara
 
"Norvus ordor socleram" ina maanisha new order of ages na hayo mawe uliyoyaweka hapo ni yanajulikana kama "georgia guide stones" ni mawe yaliyobeba sheria za new world orders ikiwemo depopullation

Hizi habari zipo hapa JF siku nyingi tu jaribu kupitia nyuzi za nyuma mkuu.

Na kingine ukitaka upate atleast. Mwangaza kuhusiana na "fraternal organizations".
Pitia deepweb hizi clear web hazina cha maana.
 
Umechoka wewe na makufuru yako hayo unayomtupia Mungu.
Ni muhali Kwa Mungu kuchoka,
Ila ujuwe kuwa yote yanayo tukuta hivi leo ni matokeo ya mikono ya wanadamu wenzetu duniani.
Binadamu kajiona kuwa elimu aliyonayo ingemtosha kujiendeshea maisha,na kwa hiyo wakamkana Muumba aliye wawezesha kuyajuwa hayo wanayo jigamba kwayo.
 
Mkuu hakuna new world order ni porojo tu.
Watu waliamua kujishughulisha na hiyo Theory kama kujitafutia umaarufu au kutafuta maarifa kwa vitu ambavyo walikuwa hawajui au kupotosha ukweli wa jambo.
Kwa ufupi hizo ni propaganda ambazo zilikuwa mbinu za USSR kupakapaka matope mataifa ya Ulaya magharibi na Marekani.
Waadhirika wengi au walengwa walikuwa Africa,Nchi za Waarabu,na Southeast Asia.
Kuna nchi kama Nigeria,Sudan na Iran waliambiwa wasusie chanjo za watoto, kilichotokea nchi hizo zimeshindwa kujikinga na magonjwa kama surua, ukoma n.k
 
Tuwe makini mkuu only way
 
ac
Kumbe huu ulikua ni mkakati wa mda sana kuusiana na jinsi yakupunguza population duniani na ndo maaana hata aueleweki bcz unakua na maaana nyingi nyingi aupo clear kila mtu na chake alicho nacho moyoni hii ndo conspiracy ambayo amna mtu mwenye uelewa nayo hata apa jf wapo watakao jitokeza sema yao kulngana na walicho kisoma kutoka sehemu tofauti tofauti

Ila jambo ambalo lakujiuliza apa ni mengi lakwanza kubwa ni ili

Je kulikua na ulazima wa new world order kuandikwa kwenye dollar ya marekani
Ambayo ina nguvu duniani??

“Novus Ordo Seculorum" au ni mimi pekee nimeona i kitu? I niki lugha ganj ? But i hope niki latin means new secular world if not mistaken, lakini it steel a conspiracy, kwangu

Maana what about this

View attachment 1435919
Steel new world order its conspiracy, but naamini kua ni kweli maana ukisearch mno unona wanakwambia its political matter and ukizidi fwatilia wana ku brainwash

I feel am washed my brain so ukichangia please usini hutumu bali fundishs walio wengi wasomaji kuliko wajibuju
NB, i feel am washed my brain...
acha umbeya wa uongo ni afadhali umbeya wa ukweli
 
Now if its an end of world basi let it be bcz ata Mungu mwenyewe i feel kachoka

Embu oneni now dunia imefika maala ambapo ndoa za jinsia moja zinafungwa kanisani!!!?

Naisi its true God love us and he decided to kill us through sleeping wazungu wanaita sleeping beauty

Bcz aliapa ato angamiz dunia kwa maji o moto but through vita eg ww1, ww2, njaa eg somalia etc, na magonjwa now we see i janga

What i feel today nikua many of us we loose hope if tutakumbuka 1 thing kua since2019 ambapo china they start,, mpaka now imefika africa means itakua imeanz ingia lini?? Aise we have to wait for mascara
Duh!
Uandishi wako unaonesha wewe ni mtu wa aina gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii idea ya kupunguza watu duniani ni ya akina nani?,je wao wanafamilia?,je huu mpango utagusa familia zao?,kwani wao hawatakufa?,lengo ni nini hasa.
 
"Norvus ordor socleram" ina maanisha new order of ages na hayo mawe uliyoyaweka hapo ni yanajulikana kama "georgia guide stones" ni mawe yaliyobeba sheria za new world orders ikiwemo depopullation

Hizi habari zipo hapa JF siku nyingi tu jaribu kupitia nyuzi za nyuma mkuu.

Na kingine ukitaka upate atleast. Mwangaza kuhusiana na "fraternal organizations".
Pitia deepweb hizi clear web hazina cha maana.
How do you access deep web.
 
How do you access deep web.
1.Download tor browser kwenye pc yako
2.download vpn (express vpn au yyte free)
3.ziba camera yako ya mbele ya pc kwa plaster au chochote kitakachoziba camera(hii ni safe kwa maana unaweza kujikuta mikononi mwa hackers na waka access camera ya pc yako ukawa una rekodiwa bila kujua.
4. Fungua vpn
5.fungua tor browser
6. Ukitaka link check google anza na hidden wiki maana ina link nyingine nyingi tu utapata uzoefu kikubwa ujue unachofanya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom