Hii ndio miamba ya Africa

Miamba ya Africa Kwa lipi? Hakuna mwamba wwte hapo , just series of leadership kitu ambacho lazima kiwepo whatever the case, inashangaza hata kikwete eti naye umemweka kama mwamba , are you serious? ...!! Wazungu walielewana tuu kuyapa makoloni Uhuru, hasa baada ya WW2 disaster ,ndani ya mda mfupi waliamua kutoa Uhuru Kwa makoloni Yao ....!! Kama kuna mwamba basi aliyeipa nchi yake Uhuru kuanzia 1930 backwards ....!!! Hao ni wanaharakat tu walioongoza kuzitafutia Uhuru nchi zao kupitia mlango ambao ulikuwa wazi tayar ....
 
Mimi wa 2015 simjui hata mmoja hapo, wacha nipite kimya kimya.
 
Sijamuona kamanda wa muda wote, msomi kwa marais wote, mtaalam wa kuitwa Robert Mugabe.
 
Huyo alievaa sawarili ya bluu nae mwamba😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…