kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Mar 19, 2013 #2 hivi wakibomoa hicho kibanda itakuaje?
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,768 Mar 19, 2013 Thread starter #3 kashesho said: hivi wakibomoa hicho kibanda itakuaje? Click to expand... Tena wanaonekana wana njaa sana
kashesho said: hivi wakibomoa hicho kibanda itakuaje? Click to expand... Tena wanaonekana wana njaa sana
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 19, 2013 #4 Yaani utalii ndani ya gari au?
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Mar 19, 2013 #5 Mh cage likifunguka ghafla itakuwaje?
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Mar 19, 2013 #6 sio kubomoa tu hicho kibanda...hata itokee tu bahati mbaya gari lipate hitilafu kidogo hapo ligome kuwaka....!!:tape2::tape2:
sio kubomoa tu hicho kibanda...hata itokee tu bahati mbaya gari lipate hitilafu kidogo hapo ligome kuwaka....!!:tape2::tape2:
resh Senior Member Joined Feb 18, 2013 Posts 181 Reaction score 36 Mar 19, 2013 #7 Huo utalii au kutaka kuuana tu hapo,kwa mbalimbali inatosha
EXTERMINATOR JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 343 Reaction score 90 Mar 19, 2013 #8 Mi naona simba wanatalii walio kwenye gari uharo unawatoka
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,768 Mar 19, 2013 Thread starter #9 EXTERMINATOR said: Mi naona simba wanatalii walio kwenye gari uharo unawatoka Click to expand... Hapo unamaliza mambo yote
EXTERMINATOR said: Mi naona simba wanatalii walio kwenye gari uharo unawatoka Click to expand... Hapo unamaliza mambo yote
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Mar 20, 2013 #10 Hapo ukikusanya mkojo unapata tanki la Simtank la 2500 Ltrs full na Kinyesi vilevile. Tena kinyesi chauoga kinavyotema gesi hata ya Mtwara cha mtoto.
Hapo ukikusanya mkojo unapata tanki la Simtank la 2500 Ltrs full na Kinyesi vilevile. Tena kinyesi chauoga kinavyotema gesi hata ya Mtwara cha mtoto.
princebujonde Senior Member Joined Jan 7, 2013 Posts 198 Reaction score 56 Mar 20, 2013 #11 Usione kama wanatabasamu hapo woga kibaoooooo
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Mar 20, 2013 #12 sijui nini said: sio kubomoa tu hicho kibanda...hata itokee tu bahati mbaya gari lipate hitilafu kidogo hapo ligome kuwaka....!!:tape2::tape2: Click to expand... au pancha!
sijui nini said: sio kubomoa tu hicho kibanda...hata itokee tu bahati mbaya gari lipate hitilafu kidogo hapo ligome kuwaka....!!:tape2::tape2: Click to expand... au pancha!
Mnama Platinum Member Joined Oct 13, 2010 Posts 3,558 Reaction score 3,860 Mar 20, 2013 #13 Nyam nyam !
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Mar 20, 2013 #14 Tongs said: au pancha! Click to expand... hapo ndo mnaanza kupiga kura ya nani akapige jeki...afu inakuangukia wewe...:nono::nono::nono:
Tongs said: au pancha! Click to expand... hapo ndo mnaanza kupiga kura ya nani akapige jeki...afu inakuangukia wewe...:nono::nono::nono:
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Mar 20, 2013 #15 A very humourous look at events! playing with the swahili word: 'ndani'