Hii ndio Lusona Club Bagamoyo

Hii ndio Lusona Club Bagamoyo

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama wasanii wa music na movie.

Ndani yake kuna kila kitu kama vinywaji vya kila aina,vyakula,dance floor ya kisasa ni club iliyochimbwa ardhini wenyewe wanaita shimoni.kwa upande wangu naweza kusema ni club ya kisasa zaidi kuliko ata za bongo,kama umeshaingia ndani ya lusona club una maoni gani?
 
Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama wasanii wa music na movie. Ndani yake kuna kila kitu kama vinywaji vya kila aina,vyakula,dance floor ya kisasa ni club iliyochimbwa ardhini wenyewe wanaita shimoni.kwa upande wangu naweza kusema ni club ya kisasa zaidi kuliko ata za bongo,kama umeshaingia ndani ya lusona club una maoni gani?

Mkuu lipia matangazo.
 
unamaanisha club bora kuliko zote tanzania au bagamoyo?
 
Ipo kawaida tu.. Tatizo inanafasi ndogo.. Mara nying watu wakijaa sanaa huwa ni kero.. Pili ma dj wake hawajui kupiga ngoma za ukweli.. Asante
 
Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama wasanii wa music na movie. Ndani yake kuna kila kitu kama vinywaji vya kila aina,vyakula,dance floor ya kisasa ni club iliyochimbwa ardhini wenyewe wanaita shimoni.kwa upande wangu naweza kusema ni club ya kisasa zaidi kuliko ata za bongo,kama umeshaingia ndani ya lusona club una maoni gani?
millenium ni hotel ya kikwete tangu kitambo au kaiuza?.....vipi hunters club iko active mpaka leo?
 
Lusona imechoka, haina ubora wowote kwanza haina nafasi kubwa kwa ndani, then inakera zaidi maana ukiwa ndani hakuna network ya kampuni yeyote ya simu inashika
 
Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama wasanii wa music na movie. Ndani yake kuna kila kitu kama vinywaji vya kila aina,vyakula,dance floor ya kisasa ni club iliyochimbwa ardhini wenyewe wanaita shimoni.kwa upande wangu naweza kusema ni club ya kisasa zaidi kuliko ata za bongo,kama umeshaingia ndani ya lusona club una maoni gani?

mkuu nisaidie kama unajua hotel yoyote hapo bagamoyo ya bei nzuri au ndogo
 
ni club yenye mazingira ya hatari sana!!!haina nafasi ya kutosha ,hakuna network ukiwa shimoni pia hakuna ulinzi wa kutosha akitokea mbabe mmoja disco linafungwa!!
 
Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama wasanii wa music na movie.

Ndani yake kuna kila kitu kama vinywaji vya kila aina,vyakula,dance floor ya kisasa ni club iliyochimbwa ardhini wenyewe wanaita shimoni.kwa upande wangu naweza kusema ni club ya kisasa zaidi kuliko ata za bongo,kama umeshaingia ndani ya lusona club una maoni gani?

Are you a PR of the Club?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom