Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia bongo

wadau hata hao wanaolalamika kwamba kununua gari ya
thamani kubwa hivyo ni ulimbukeni wanatudanganya
hakuna mtu ambaye hapendi kumiliki kitu cha tofauti
na mwenzie kadiri ya uwezo wa kiuchumi
alionao, ww unaemiliki vitz pia kuna ndugu zako
wana shida zaidi yako je umewapa msaada
gani kwa hivyo tu vijisenti vyako ulivyowazidi navyo?
tutegemee pia ungekua bilionea usingetembelea vitz, unatudanganya
kwa Davis nayemjua mimi kitakachomuathiri kwenye hiyo
gari ni barabara zetu mbovu tu, na acheze nayo zaidi huko masaki kwake na ikizd sana kijitonyama ofisini, lakini kwa swala la mafuta yeye ni mmoja wa wauzaji wakuu shida hapo ya consumption ataipataje?
 
hivi kana nini na nini vyenye burudani.....I mean ukiendesha unapata nini zaidi ya mimi ninayeendesha vitz....kwa mfano tu.....
preta waltwambia wahenga fahari mama wa ujinga na binaadamu ndivyo tulivyo
 
Mh Gallardo sku hizi BILLIONI? hahahaa, zimejaa tele autotrader kwa paundi elfu70 CIF Dar, ina maana ushuru ni millioni mia nane? watu kwa kujiongezea ujiko, kwani imekuwa BUGATI?
 

Mimi nimo humu KABLI GADO!!Sawa kwa sawa!kasoro rangi!loz!
 

Truuuuuuueeeee...ni sawa na kufananisha mtu anayekaa kule tandale kwenye nyumba ya mbavu za mbwa(samahani kwa wanaokaa huko nimetoa mfano tu,unaoendana na ukweli) na mtu anayekaa kwenye bangaloo kule mbezi beach,wote wapo kwenye nyumba hizo kutokana na financial posstion zao,na mwenye kibanda sio kwamba hataki kuwa na mjumba mkubwa,sema tatizo ni pesoooo,hapo ndo inafika hatua ya yeye kusema akilini mwake ilimladi nina sehemu ya kujiegesha tu...jamaa anaishi maisha ambayo kwa wengine ni ndoto,sio kujidai ila ni uwezo wake tu,me sijaridhika na ka kivits cha mbavu za mbwa,i want to drive gari sio mfano wa gari..kama we umeridhika shauri yako.utaishia kuita watu majina ti ooh mala feemason,mala fisadi,am out...


Never give up in life....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…