Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Mwache ale raha bana safi sana
Mwache ale raha bana safi sana
..na kuliendeshea kwenye barabara gani siju!!!hivi kana nini na nini vyenye burudani.....I mean ukiendesha unapata nini zaidi ya mimi ninayeendesha vitz....kwa mfano tu.....
LHD nani anataka kujipa shida kisa lamboghin
Ukitaka ku-overtake mpaka umuulize abiria, inahusuuu. Ndiyo maana mjanja akamuuzia msala.LHD nani anataka kujipa shida kisa lamboghin
Umeona eeh wabongo kwa mbwembwe unakuta mtu anachukua SUV za kimarekani,barabarani unaangaika left hand ptuuu,chukua vogue tuliaMtumba huu. Wenye zao wanaweka Order kiwandani.
hivi kana nini na nini vyenye burudani.....I mean ukiendesha unapata nini zaidi ya mimi ninayeendesha vitz....kwa mfano tu.....
Ukitaka ku-overtake mpaka umuulize abiria, inahusuuu. Ndiyo maana mjanja akamuuzia msala.
morogoro road...na kuliendeshea kwenye barabara gani siju!!!
Kwani dada zetu wanajua huo ni mtumba? Wacha ajitumbulie wakijua ni mtumba wote wana mimba za miezi minne minne. TeheteheteheteheeeeMtumba huu. Wenye zao wanaweka Order kiwandani.
hiii ungeweka chit chat watu wange kupm wakitaka namba ya david mosha
Mia miaaaaa mkuu. Kitu kimetulia na kinavutia kuliko hilo Lamborghin la jamaa.