Hii ndio karata ya mwisho kwa Nape

Hii ndio karata ya mwisho kwa Nape

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,792
Reaction score
2,421
unakiu ya kupata kiongozi bora kutoka CCM na ufisadi na groap lao limekuzidi nguvu . Karata ya mwisho ni hii.

CCM iandae midahalo ya wazi kwa wagombea wake wa uraisi na iwe live kwenye tv. Hapo watanzania watachambua mbivu na mbichi na CCM itapata ngombea mwenye nguvu
 
CCM na midahalo ni paka na panya!
Midahalo ya wao kwa wao wanaweza maana wanapingana utadhani nao niwapinzani, yaani wanapinga yanayofanywa na serikali yao. Sumu ni wao na wapinzani,looooh, hapo humpati mtu. Na hiyo ndiyo inadhihirisha unafiki wa CCM. Yaliyosemwa na Mwigulu jana kwenye kuangaza nia yanakubalika kwa wana CCm kwakuwa yamesemwa na Mwana CCM na ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ukisemwa na mpinzani kwa watu walewale utasikia oooh watu hawa hawana shukurani, hawaoni yaliyofanywa na CCM, utapondwa hadi ukome. Hii inamaana uozo unaofanywa na wao wanauona likini wanaulinda pale wapinzani wanapotaka kuufichua na ndiyo sababu kubwa ya kuwaondoa madarani.
 
unakiu ya kupata kiongozi bora kutoka CCM na ufisadi na groap lao limekuzidi nguvu . Karata ya mwisho ni hii.

CCM iandae midahalo ya wazi kwa wagombea wake wa uraisi na iwe live kwenye tv. Hapo watanzania watachambua mbivu na mbichi na CCM itapata ngombea mwenye nguvu
nape aombe ubalozi,lowasa huyoooo anaingia ikulu,historia inaonyesha nape kamtukana sana edo
 
Watu wale wale, mbinu zile zile, siasa zile zile matarajio ya kupata kitu kipya ni madogo.
 
Nape amebananishwa kati, huku Lowassa na kule raisi mtarajiwa Dr Slaa, wote aliishawatukana
 
unakiu ya kupata kiongozi bora kutoka CCM na ufisadi na groap lao limekuzidi nguvu . Karata ya mwisho ni hii.

CCM iandae midahalo ya wazi kwa wagombea wake wa uraisi na iwe live kwenye tv. Hapo watanzania watachambua mbivu na mbichi na CCM itapata ngombea mwenye nguvu

Na wewe usiwe mwepesi kihivyo unataka kuiga kila hata visivyoigikia?
Ni Watz wangapi wanatv majumbani mwao? Takwimu zinaonyesha ni asilimia 14% ya Watz ndio wana Umeme achilia mbali kuupata kwa kila siku na huko ni Mjini, na zaidi ya asilimia 90% ya Watz waishio vijijini hawana Umeme na hao ndio wapiga kura wakubwa sasa huo mdaharo watauonea wapi?

Jamani hebu rudini Duniani inaonekana mnaishi space unafikiri kwa kuwa unaishi Sinza na watu wanaenda kuangalia TV Bar kila Mtz yuko hivyo?
 
wanaoangalia tv ndio wenye ushawishi kwa wenzao
 
Bablosa hiyo takwimu yako ni ya mwaka gani kwa taarifa yako kalibia kila kijiji kina Ukumbi wa Tv kwani source ya umeme sio tanesco peke yake, mdaharo wafanye tu
 
Midahalo ifanyike, iwe ni kuanzia ccm kwa ccm, na baadae kila mgombea wa chama aloteuliwa dhidi ya wateuliwa wengine, TV mnasema wengi hawana, redio zipo hadi kwenye simu tena uzuri kila sehemu fm radio zinashika, Enhe, kwepeni na hili,.. tutaamua wenyewe Octoba. Bora mtusikilize ~ Fanyeni mdahalo, woga huu sio kipimo kizuri cha uongozi- utathubutuje maamuzi magumu nawe ni mwoga hata wa midahalo? pata changamoto tujue uelewa wako na usafi wa moyo, MBWA MWOGA HUBWEKEA UVUNGUNI...
 
hahhah naona jinsi manvi atakuwa hana chakuongea.
pia wakuu huo njadala usiwe na mashabiki, wawekwe wao wenyewe na mwakilishi wakuuliza maswali yanayowatesa watanzania kwa wakati huu kama. Maswali yawe haya:
1. umejiandaajr kupambana na ufisadi na rushwa iliyokidhiri
2. umejipangaje kuboresha huduma za jamii kama elimu, afya, n.k
3. umejiandaaje katika dhama kuu ya uwajibikaji kwa watumishi wa kada mbalimbali
4. umejiandaaje kuendelea kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa kisiwa cha amani na uongozi wa sheria
5. umejiandaaje kunyanyua uchumi na kuzuia mfumuko wa bei
6. umejiandaaje kupunguza deni la taifa na kupunguza utegemezi wa nchi wahisani
7. umejiandaaje kutumia raslimali za taifa kwa manufaa mapana ya watanzania wote.
8. Nini msimamo wako kwenye katiba inayopendekezwa, vipengele gani havijaingizwa na unadhani kinahitajika sana kwa manufaa ya taifa na sio kundi flani
9. mikakati yako ya kuongeza ajira na kuwawezesha vijana kujiajiri
10. Mipango yako ya kuongeza /kuporesha njia za ushafirishaji , reli, ndege na vyombo vya majini?
Afu tuone watu wanavyojitosa na majibu. waliozoea kugelezea hapo kazi wanayo. na wale wanaosubiri kusemewa na marafiki ni balaa
 
Back
Top Bottom