Hii ndio karata ya mwisho kwa Nape

Hii ndio karata ya mwisho kwa Nape

Hivi mgombea yoyote wa ccm akikutana na Dr slaa au lipumba kwenye mdahalo ataongea nini
 
Na wewe usiwe mwepesi kihivyo unataka kuiga kila hata visivyoigikia? Ni Watz wangapi wanatv majumbani mwao? Takwimu zinaonyesha ni asilimia 14% ya Watz ndio wana Umeme achilia mbali kuupata kwa kila siku na huko ni Mjini, na zaidi ya asilimia 90% ya Watz waishio vijijini hawana Umeme na hao ndio wapiga kura wakubwa sasa huo mdaharo watauonea wapi?Jamani hebu rudini Duniani inaonekana mnaishi space unafikiri kwa kuwa unaishi Sinza na watu wanaenda kuangalia TV Bar kila Mtz yuko hivyo?
Acha asilimia hiyo kidogo ione.Mbona Rais huwa anahutubia Taifa kila mwisho wa Mwezi kwa kutumia TV?
 
Anahutubia Taifa kutumia TV kwa sababu na yeye ni mjinga kama walivyo wajinga wanaotaka kufanya midaharo kupitia TV, hao wachache watakaoona asilimia kwenye uchchini ya 10% ya Watz hawana uamuzi wowote ule kwenye uchaguzi kwanza Watu wa mjini kama Dar wapigaji kura ni wachache sana wengi wao ni washabiki tu na wapigaji wa kura wako vijijini ambako ni zaidi ya 85% ya Wapigaji kura wote na hao wote uamuzi wao hauguswi kwa vyovyote vile na mdaharo wa TV hivyo hata kama ukifanyika itakuwa ni burudani tu kama ilivyo midaharo mingine au michezo ya Mzee Majuto na haitobadilisha chochote kile kwenye kura!
 
Acha kujitoa akili,mtu huyo huyo akiingia madarakani atatumia TV hizohizo,au unataka useme atakuwa anazunguka nchi nzima kutoa taarifa.Mgombea asiyependa tujue udhaifu wake hatufai sisi.Watu wametangaza nia TV zimerusha kila kitu tumeona,leo inakuja midahalo wanasema TV hazionekani acheni uhuni.
 
Acha ushamba.Wakisema utarushwa moja kwa moja ina maana hata redio mbalimbali zitarusha.
Redio One,Redio Free etc zinasikika kiasi gani?
Acha woga na mwambie Lowasa asikimbie.
Anahutubia Taifa kutumia TV kwa sababu na yeye ni mjinga kama walivyo wajinga wanaotaka kufanya midaharo kupitia TV, hao wachache watakaoona asilimia kwenye uchchini ya 10% ya Watz hawana uamuzi wowote ule kwenye uchaguzi kwanza Watu wa mjini kama Dar wapigaji kura ni wachache sana wengi wao ni washabiki tu na wapigaji wa kura wako vijijini ambako ni zaidi ya 85% ya Wapigaji kura wote na hao wote uamuzi wao hauguswi kwa vyovyote vile na mdaharo wa TV hivyo hata kama ukifanyika itakuwa ni burudani tu kama ilivyo midaharo mingine au michezo ya Mzee Majuto na haitobadilisha chochote kile kwenye kura!
 
Anahutubia Taifa kutumia TV kwa sababu na yeye ni mjinga kama walivyo wajinga wanaotaka kufanya midaharo kupitia TV, hao wachache watakaoona asilimia kwenye uchchini ya 10% ya Watz hawana uamuzi wowote ule kwenye uchaguzi kwanza Watu wa mjini kama Dar wapigaji kura ni wachache sana wengi wao ni washabiki tu na wapigaji wa kura wako vijijini ambako ni zaidi ya 85% ya Wapigaji kura wote na hao wote uamuzi wao hauguswi kwa vyovyote vile na mdaharo wa TV hivyo hata kama ukifanyika itakuwa ni burudani tu kama ilivyo midaharo mingine au michezo ya Mzee Majuto na haitobadilisha chochote kile kwenye kura!

Kwahiyo unachomaanisha hao watu wakijijini hawajui kinachoendelea? Hata hawana taarifa za uchaguzi? Na kama wanazo wamepataje?mbona una mawazo kama ya yule msee aliepishanisha vifungo vya suti¿¿¿¿
 
Tetetete eti hii ndio karata ya mwisho kwa Nape.

swissme
 
unakiu ya kupata kiongozi bora kutoka CCM na ufisadi na groap lao limekuzidi nguvu . Karata ya mwisho ni hii.

CCM iandae midahalo ya wazi kwa wagombea wake wa uraisi na iwe live kwenye tv. Hapo watanzania watachambua mbivu na mbichi na CCM itapata ngombea mwenye nguvu

Kutafuta mgombea safi ndani ya ccm ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi
 
Back
Top Bottom