hii ndio karaha ya kushangilia timu za africa

hii ndio karaha ya kushangilia timu za africa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
10441901_603317336433701_5562365440799270750_n.jpg
 
Nimechekaje star wetu wa Nolywood akipiga ukunga. Bora kuwa neutral tu. Anayeonekana kucheza vizuri ndiyo inakuwa timu yako siku husika.
 
Hivi unaanzaje kushabikia taifa la mwenzako, ingekuwa ni mashindano ya vilabu walau ningeelewa
 
Timu za Afrika zote zinafagiliwa ubishoo umezidi mpk kero.
 
Jamaani hadi huruma. Hapo tu nigeria imetoka sare je ikifungwa si itakuwa balaaa.
 
Back
Top Bottom