sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Hahahah angalia statistics zikoje tatizo sio kukimbia boss. Wewe endelea kukimbia.Kitu ulichosahau wakati unamkimbiza mwenzio na yeye anakimbia, hivyo utabaki nyuma tu ya watu wa kanda hii.
Hivyo kilichowakosti ni kuwa wajinga mwanzoni.
wewe jamaa una miaka MingapiHahahah angalia statistics zikoje tatizo sio kukimbia boss. Wewe endelea kukimbia.
Unachangamsha thread, huo ndio ukweli.Wa Kaskazini hatujawahi Kudharauliana kitu cha Kwanza Mkuu, Note-- Mangosha ndio tunawaona wa Kuja tu
Ninachojua Wasukuma ndio Washamba Tanzania NzimaUnachangamsha thread, huo ndio ukweli.
Wewe mu_ iraqw unajificha nyuma ya u_ kaskazini? Nawewe unakingia kifua jeshi kubwa( wasukuma)? Hahahahahah we jamaa banawewe jamaa una miaka Mingapi
Mkuu endelea kusifia kanda yako sisi tunaendelea kujenga chato na kuhakikisha vyombo vya ulinzi na usalama vyote vinaongozwa na sisi na hivyo kuwa kwenye system miaka yote, ukumbuke pia ndugu yako niki wa pili alisema wasomi ni watumwa kwa wanasiasa sasa kuwa na wasomi, pia endelea kuwa na wasichana na wanawake wazuri wanaoua waume zao ili kurithi mali, kuwa na majambazi tutawadhibiti wote, halafu unasema watu wenu wanapenda kwao kwani mheshimiwa hapendi kwao endelea kujidanganya hivyo hivyo, pia wasanii wapo kigoma mkuu siyo huko kwenu mnaowabeba kwa nguvu. Mkuu nawasilisha najivunia kanda ya jiwe.
Okay kwakua muda ndio msema kweli tuombe Mungu atuvushe hii miaka saba ya kichaa iliyobaki uuchimbe huu uzi hasa kwenye komenti yangu.Hahahah angalia statistics zikoje tatizo sio kukimbia boss. Wewe endelea kukimbia.
wairaqw sio wa Kaskazini??? Jibu swali una Miaka Mingapi??Wewe mu_ iraqw unajificha nyuma ya u_ kaskazini? Nawewe unakingia kifua jeshi kubwa( wasukuma)? Hahahahahah we jamaa bana
Ndio nimekuelewa sasa, mimi ni ngosha asili. Home kwetu ni Kahama, karibu sana ukifika kama nikiwepo usisite kunitafuta.Ninachojua Wasukuma ndio Washamba Tanzania Nzima
Kikubwa Jikubali hivo hivo Ngoja, Wabeja saana!Ndio nimekuelewa sasa, mimi ni ngosha asili. Home kwetu ni Kahama, karibu sana ukifika kama nikiwepo usisite kunitafuta.
Wewe muiraqw tuliza boli, mimi msukuma niachie jamii yenye nguvu tunazo lingana tutifuane himu. Wewe kalime vitunguu mang'olawairaqw sio wa Kaskazini??? Jibu swali una Miaka Mingapi??
Sawa mkuu tuombe uzima.Okay kwakua muda ndio msema kweli tuombe Mungu atuvushe hii miaka saba ya kichaa iliyobaki uuchimbe huu uzi hasa kwenye komenti yangu.
πππ Ngosha Tumia Akili, Nguvu za Nini?? Nariromba Bugali Ng'walu!Wewe muiraqw tuliza boli, mimi msukuma niachie jamii yenye nguvu tunazo lingana tutifuane himu. Wewe kalime vitunguu mang'ola
Unanisikitisha sana yani kumbe nawewe muiraqw unatamba na u_kaskazini? Wakaskazini wenye nguvu ni mmoja tu hawa wengine hamuwezi battle na SUKUMA LAND.πππ Ngosha Tumia Akili, Nguvu za Nini?? Nariromba Bugali Ng'walu!
Kujinadi kwa wito wa ukabila,ukanda, rangi ya mwili nk ni wito wa "kijahiliya" ni wito wa kijinga. Sijui mtu ananufaika na nini akijinadi kwa wito wa namna hiyo.Hii mbegu inayopandwa hapa italigharimu taifa hili changa linalopatikana pembezoni mwa bahari ya Hindi! Na hili ni tatizo kubwa sana linaloenda kutugharimu. Muda ni mwamuzi mzuri sana kwenye mambo kama haya.
Nani huyo Mwenye Nguvu?Unanisikitisha sana yani kumbe nawewe muiraqw unatamba na u_kaskazini? Wakaskazini wenye nguvu ni mmoja tu hawa wengine hamuwezi battle na SUKUMA LAND.
Kaskazini nzima kidume ni Mchagga pekee hawa wengine wanajificha nyuma ya ukaskazini. Bongo nzima vidume ni wawili tu, uliza tena mwingine ni yupi.Nani huyo Mwenye Nguvu?
Tukisema Nyie Wasukuma ni Washaba Hamjui kitu Mnakataa?? Niambie Umri wako Halafu tupime USukmA Land na UkaskaziniKaskazini nzima kidume ni Mchagga pekee hawa wengine wanajificha nyuma ya ukaskazini. Bongo nzima vidume ni wawili tu, uliza tena mwingine ni yupi.
Jamii nyingine bana, wewe muiraqw achana na huu uzi. Tuachie watu wenye influence na hii nchi.Tukisema Nyie Wasukuma ni Washaba Hamjui kitu Mnakataa?? Niambie Umri wako Halafu tupime USukmA Land na Ukaskazini