Hii ndio Kanda ya Kaskazini

100%
 
 
Mkuu ni bora ungefanya utafiti vizuri halafu uje,rudi kafahamu kaskazini ina mikoa mingapi? Manyara ni mkoa au sio mkoa? Halafu njoo uanzishe tena uzi
 
Ni kweli shakutana nao wengi ni mabest na Mimi huwapa changamoto za hapa na pale mkuu. Maana wananipenda mwenyewe tu automatically

Cariha achana na hawa vyasaka(samahani kwa ubaguzi) wao wakiona mwanamke mweupa kama dada yangu basi wanazuzuka. Ivi naskia kuchezwa ngoma ndo kukoje maana ushatembeaga kidogo
 
Kaskazini itabaki story....wakati kanda zingine wako juu na wanapiga umande wa nguvu kama kawa...
 
Huku watu tunapambanaga tuu na hali zetu toka kitambo sana.
By the way umesahau kwamba ndio kanda ambayo inaongoza kwa wanawake wengi kupush sio mandinga tuu bali mandinga makali.
 
Kaskazini itabaki story....wakati kanda zingine wako juu na wanapiga umande wa nguvu kama kawa...
We the best bhana. Yaani hata kabla Nyerere hajaenda UNO enzi hizo.
Watu wa kaskazini tulishaendaga kitambo tuu kudai uhuru wetu.
Yaani kwa kifupi tuu tunajitambua toka enzi hizoo.
 
sawaaa tumekuelewa " Mtu kwao " kesho namimi nitafungua uzi kwaajili ya kupamwagia sifa kwetu. ..maana mkataa kwao nimtumwa
 
Hii mbegu inayopandwa hapa italigharimu taifa hili changa linalopatikana pembezoni mwa bahari ya Hindi! Na hili ni tatizo kubwa sana linaloenda kutugharimu. Muda ni mwamuzi mzuri sana kwenye mambo kama haya.
 
Yaani huku kaskazini tukisema tuwe nchi kamili aisee baaada ya muda mchache sana nchi ya Tanzania itakuja kuomba msaada huku.

Ohooooo nimemkumbuka Rizimoja alisema Rais hawezi kutoka kaskazini yaani nilimshangaa sana huyo chasaka. Leo nilibahatika kuangalia kuangalia tibisi yetu pendwa eti jiwe anawaambia wakazi wa huko Sibiti kwamba wanajengewa daraja kwa hiyo wasubiri miradi ya maji, barabara, afya, umeme nk miaka 60 bado msubiri maendeleo wamelogwa nini na bado wanaipa kura ccm yaani yananiudhi.

Nilipenda sera ya chadema kwamba nchi iongozwe kimajimbo sio hela za mlima kilimanjaro zikajenga uwanja wa ndege chattle. Wale ambao hawana rasilimali watajiju

Naomb Mungu CCM waachie CHADEMA nchi tujiletee maendeleo maana mpaka kwa bibi yangu pale Ashira kuna maji ya bomba, umeme na nk
 
Cariha achana na hawa vyasaka(samahani kwa ubaguzi) wao wakiona mwanamke mweupa kama dada yangu basi wanazuzuka. Ivi naskia kuchezwa ngoma ndo kukoje maana ushatembeaga kidogo
Hahaaaa nani aliwaloga kuangalia weupe au kwa vile wote wanafanana sura haijulikana huyu dume au jike waanze kuchaganya damu.
Kuchezwa ngoma hutokea mtoto wa kike akivunja ungo hata na miaka Tisa wanamfundisha mapenzi na jinsi ya kumkatikia mwanaume, ni mafunzo ya ki umalaya tu badala wawafundishe watoto vtu vya msingi wao ndo hivo vtu vya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…