Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Mkuu hii michunga ngombe n mishambAa ka ngombe
 
Wivu tu huna lolote kunguni ww ukisikia mchaga unakufa ganzi nn?
 
Haijalishi,naona haters bado mpo
 
Acha siasa,ukabila ni 100%
 
Endelea kukaa ndani ya pipa hapo Chato,hata wa Msoga alishindwa
 
Sio Kariakoo tuu,aende Miji yote kuanzia Moshi
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]uko vizuri
 
Ndugu umepovuka lakini yafaa utambue kuwa mtu mwenye kuwaza mbali hakumbatii kukaa sehemu moja akiamini atatosheka pale bali hujitanua kwa kwenda huku na kule kutafuta zaidi na kujiwekeza zaidi.
Mfano mzuri ona wazungu na wachina walivyojaa Africa na sehemu zingine sio kwamba kwao hakuna fursa laa hasha wameshazitumia na wanazitafuta sehemu nyingine.Unapoona biashara ya madiuka imeshikiliwa na waha na wasukuma kama unavyodai elewa wenzako wameshamove kwenye mambo mengine makubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…