ibrahim chisanga
Member
- Sep 27, 2015
- 83
- 15
Picha zimemaliza kila kitu labda unataka ubishi tumkuu picha tu hazisaidii embu tupe kile kilichopo hapo,maisha yao ,walimu wao,aina ya usomaji,vyakula vyao nk
unatumia nguvu nyingi kuliko akiri iyo shule ndivyo ilivyo na ni zaidi ya hicho unacho kiona, mleta uizi hajaweka kila kitu ni shule ya kipekee. Siku nyingine ukija kupinga kitu wasiliana na ubongo wakoHizo picha za mwanzo ni Feza Boys ya pale Tegeta na siyo Kaizarage, naona kuna wimbi la watu wa huyu jamaa wanaotaka kupotosha umma kwa kulaghai wananchi na matumizi ya picha za Feza. "Research before you post".