ila ilboru wapo vizuri sana siku hizi mkuu, majengo yao kuanzia majiko, mabweni, madarasa na maabara yameboreshwa sanaUkiangalia hizi picha kama unayafahamu mazingira ya special schools zetu (Mzumbe, Ilboru, Kibaha, Msalato, Kilakala, Tabora boys etc) utakubali ni halali wanafunzi wa hapa kufaulu kwa kiwango hiki.
Naamini kwa bio yako wewe ni JF Expert na ni hali hivyo una maarifa kuliko mimi, basi kwahilo naomba utafute tovuti ya Kaizirege na Feza nawe utapata majibu. Sincerely mwana Feza wa zamaniunatumia nguvu nyingi kuliko akiri iyo shule ndivyo ilivyo na ni zaidi ya hicho unacho kiona, mleta uizi hajaweka kila kitu ni shule ya kipekee. Siku nyingine ukija kupinga kitu wasiliana na ubongo wako
Nenda mwenyewe kaone..mkuu picha tu hazisaidii embu tupe kile kilichopo hapo,maisha yao ,walimu wao,aina ya usomaji,vyakula vyao nk
Fananisha hicho ulichokiandika na matokeo yao kwa ujumla...Huyu mmiliki hana 'Kontena' kweli? Isijekuwa kaweka bomba NECTA ambapo mitihani inawamwagikia wanafunzi wa shule yake tu na kuzidhoofisha kwa utapiamlo za serikali!