Alafu serikali ilikuwa inataka kuwapangia watu ada za kulipa... Thubutuuuu, pangeni za huko huko kwenye vumbi..
Safi sana wahaya... Huu uwekezaji mzuri na atleast sasa mtarudisha watoto Bukoba kusoma na kujifunza tamaduni zao, sasa msiwe na sifa za kuwapandisha ndege kurudi mikoani mnakoishi mpaka zile likizo ndogo. Muwe mnawaacha wanaenda kwa bibi zao pia wakale senene huko..