HII NDIO JANJA YA MALARIA SUGU et al? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HII NDIO JANJA YA MALARIA SUGU et al?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanga kwetu, Dec 15, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Malaria sugu mara chache sana huchangia threads zilizoanzishwa na wengine rather yeye hupenda kuanzisha threads zake ambazo huwa zinaamsha hisia za wengi hivyo kujibiwa sana. probably wanaomjibu majority watakuwa ni wakristo. huwa standby ku-respond propmtly maana anajua fika amepiga mzinga wa nyuki. Threads zake nyingi huwa za kidini zenye mwelekeo wa kuonyesha kukandamizwa kwa waislam na/au kupendelewa kwa wakristo. Nimefikiri sana juu ya hili yaani what could be his motives behind posting his threads here in JF na kupata idea ifuatayo. Kwamba atakuwa anawa-provoke wakristo ili kukusanya views zao kwa matumizi anayoyajua yeye au kwa maslahi ya kikundi fulani kinachomtuma kwa maslahi yao. so nashauri, wanaokuwa provoked na threads wampuuzie. nahisi anapata faida sana kwa reply zenu....apuuuzwe au apewe majibu ya kipuuzi.

  nawasilisha!!!
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mkuu nasikia uyu ms tayari yuko mikononi mwa sungusungu wa Jf,alionywa akagoma,yamemkuta. Ila nasikia anatoroka uko jela kwa kutumia ID nyingne. Kalamba ban.
   
 3. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kama Malaria Sugu kalamba ban ni poa sana maana tumelalamika sana kuhusu yeye na udini wake.

  Vile vile msisahau kuwa Malaria Sugu huja kwa jina lingine ambalo ni Dar es Salaam.Kwa hiyo akija kwa jina la Malaria Sugu au Dar es Salaam ni kumripoti kumpa kubwa tu za uso akafie mbele
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  pamoja sana...aende kwa mjengwa blogspot
   
 5. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Nahisi atakuwa anatumiwa na waendesha mihadhara
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  jeykeywaukweli
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  jamani eeeh si kashakuwa banned? sasa mihadhara na kila kitu vinatokea wapi tena?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu hao ni watu wawili tofauti ila itikadi zao zinafanana. Dar es Salaam ni msomi mzuri anajua jenga hoja na kutetea. Malaria Sugu ni elimu ile ya ahera tu. Ukisoma maandishi yake ni kama anaandika kiarabu. Ukitaka mkomesha yule mjibu post zake kidhungu. Huwa anasepa na malapa yake.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kuna watu humu bila malaria sugu wana washwa......
   
 10. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Bora aende kwa mjengwa blog au Michuzi
   
 11. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MS dawa yake kumjibu kihuni huni tu.
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Malaria Sugu
  [​IMG]
  Banned [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date Sun Aug 2009 Posts 3,685 Thanks 44 Thanked 367 Times in 277 Posts
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi hujaona posts zinazowa-provoke na waIslam? Au hizo kwako ni sahali?
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  This is Dar Es Salaam calling, what can I do you for?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  I like you by the way! si kama pacha wako yule duuuu
   
 16. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nilifikiri ni Malaria Sugu kwa ID nyingine,ila nishaeleweshwa kuwa MS hajui kingereza..
   
 17. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Big Up MS
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Rev, kuanzia leo ni swahiba yangu, hiyo misifa ulionipa yaani nakuwa Mister Misifa kuliko ZK.

  Lakini kwa nini hamkubali kuwa mnam-miss Malaria Sugu?

  Na ingekuwa hanum miss msingemuongelea sana kiasi hiki, yaani humu JF wanaoongelewa sana ni Zitto wa kwanza wa pili Malaria Sugu.

  MS ni kiboko yenu.
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Naomba anayejihisi yupo huru aje hapa mzarendo kwa juu ofa ya bia 4 pls
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Swahiba, MS ukimsoma utaona mko level tofauti sana! Nina wasi wasi kama anaweledi wa kutosha. Hahahahahah ZK ni issue nyingine. Nilikuwa namzimia zamani ila sasa mmmhh gharasha tu
   
Loading...