tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Malaria sugu mara chache sana huchangia threads zilizoanzishwa na wengine rather yeye hupenda kuanzisha threads zake ambazo huwa zinaamsha hisia za wengi hivyo kujibiwa sana. probably wanaomjibu majority watakuwa ni wakristo. huwa standby ku-respond propmtly maana anajua fika amepiga mzinga wa nyuki. Threads zake nyingi huwa za kidini zenye mwelekeo wa kuonyesha kukandamizwa kwa waislam na/au kupendelewa kwa wakristo. Nimefikiri sana juu ya hili yaani what could be his motives behind posting his threads here in JF na kupata idea ifuatayo. Kwamba atakuwa anawa-provoke wakristo ili kukusanya views zao kwa matumizi anayoyajua yeye au kwa maslahi ya kikundi fulani kinachomtuma kwa maslahi yao. so nashauri, wanaokuwa provoked na threads wampuuzie. nahisi anapata faida sana kwa reply zenu....apuuuzwe au apewe majibu ya kipuuzi.
nawasilisha!!!
nawasilisha!!!