Hii ndio interchange bora Tanzania

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Sijajua architect wa hii interchange .. lakini designer ametisha.. alituliza sana kichwa kuja na hii solution kwa eneo dogo kama hili.
 
Design imetulia.. ingejengwa awamu hii pale kungekua na mtaa wa mataa ya kuongozea magari
kabisa kabisa.

nashangaa sana kwa nini haiongelewi sana na MATAGA... sijui ni kwa vile aliyejenga ni JK?
 
Arab contractors ndiye aliye design na kusimamia mradi (RESIDENT ENGINEER)
 
Back
Top Bottom