Hii ndio hatari na tishio linalotokana na changamoto ya upumuaji

jahazi ndo hili linakata mawimbi nahodha wetu ndo kama mnavyomjua.
Usipojikataza mawimbi yatakutupa baharini.
TUTAFIKA TU
 
Unaambiwa sasa hivi vigogo wengi wanaopata changamoto ya kupumua wanapelekwa Hospitali Moja iko Upanga inaitwa HITECH SAI , ni balaa ! wasio na macho matatu wanajua wanapelekwa Muhimbili , lakini huko Mwaisela hawafiki
Ukitoka hapo hi-tech unapelekwa Muhimbili ukafie huko.
 
Nyungu na ule uji wa NIMRI ni upumbavu mtupu. Hakuna mwenye acute Covid 19 anayeweza kusaidiwa na hizo takataka.

Kama unataka kumwahisha mgonjwa wako kaburini, mpige nyungu.
Hii nimr itaishia kudharauliwa Sana na taasisi za tafiti za kidunia.
 
Kama korona inasababisha microthrombi ambazo kwenye mapafu zinaziba vile vimishipa vidogo vya damu ambavyo vinahusika pia na gaseous exchange.

Nilitarajia quick improvement kama wagonjwa watapewa anticoagulant drugs, mfano Aspirin kuliko kuwaweka kwenye ventilator pekee.
Kibaya zaidi wanaaminishwa kuwa ile temperature ya mvuke wa nyungu inafika kwenye mapafu.
 
Sanitizer haziui kurusi...labda kunawa mikono
Kinakuwa kirusi kikishaingia ndani ya cell. Kikiwa nje si lolote si chochote. Hapo ndiyo sanitizer (iliyotengenezwa vizuri) na sabuni vinapochukua nafasi muhimu kuzuia hii particle isiingie ndani ya seli.
 
Nimeugua Corona mara mbili, Nina Pressure na Sukari natembea kama Chuma Cha Mdachi
Jamaa yangu ana Sukari, Pressure, Vidonda vya tumbo na ngoma amepata Corona mara mbili anadunda kama chuma cha Mdachi, Chukua tahadhi nawa mikono epuka mikusanyiko
Mkuu unatumia mbinu gani kupona..?
 
Hii kitu nimeikuta mahali, hivyo ni muhimu kuelewa hawa COVID wanapojificha, na hukaa hapo hadi siku 5 kabla ya kushambulia

Important Message for all

The hot water you
drink is good for your throat.

But this corona
virus is hidden behind the
paranasal sinus of your nose for 3 to 4 days.
The hot water we
drink does not reach there

After 4 to 5 days
this virus that
was hidden behind the
paranasal sinus reaches your lungs.
Then you have trouble breathing.

That's why it is very important to take steam,
which reaches the
back of your paranasal sinus.
You have to kill this
virus in the nose with steam.

At 50°C, this virus becomes disabled i.e. paralyzed.

At 60°C this virus
becomes so weak that any
human immunity
system can fight against it.

At 70°C this virus dies completely.
This is what steam does.

The entire public
health department knows this.
But everyone wants to take
advantage of this pandemic.

So they don't share this information openly.

One who stays at home should take steam once a day.
If you go to the market to buy
vegetables,
take it twice a day.
Anyone who meets
some people or goes to office
should take steam 3 times a day.

Steam week
According to doctors,
Covid -19 can be killed by
inhaling steam from the nose and mouth,
eliminating the Coronavirus.
If all the people
started a steam drive campaign for a week,
the pandemic will soon end.
So here is a suggestion:

* Start the process for a week from
morning and evening, for
just 5 minutes
each time,
to inhale steam.
If we all adopt this practice for a week the deadly
Covid-19 will be erased.
This practice has no side effects either.
So please send this message to all your relatives,
friends and neighbours,
so that we all can kill this
corona virus together and live and walk freely
in this beautiful world.

1613537875197.png
1613537908553.png


Swahili translation.

Maji ya moto unayoyapata Kinywaji ni kizuri kwa koo.
Lakini hii corona virusi imefichwa nyuma ya paranasal ya pua yako kwa siku 3 hadi 4.
Maji ya moto hayakifikii huko.
Baada ya siku 4 hadi 5 kirusi hiki ambacho kilijificha nyuma ya paranasal hufikia mapafu yako.

Kisha unapata shida ya kupumua. Ndiyo sababu ni muhimu sana kujifusha mvuke,
ambao hufikia nyuma ya paranasal. Lazima uue hivi virusi puani na mvuke.
Kwa 50°C, virusi hivi huwa vimelemazwa yaani kupooza.
Kwa 60°C kirusi hiki kinakuwa dhaifu sana kiasi kwamba kinga ya binadamu mfumo unaweza kupambana dhidi yake.
Katika 70° C virusi hii hufa kabisa.

Hivi ndivyo mvuke hufanya. Lakini kila mtu ni lazima kuchukua faida juu ya janga hili.
Kwa hivyo hawashiriki habari hii kwa uwazi.


Mtu ambaye anakaa nyumbani anapaswa kujifusha mvuke mara moja kwa siku.
Ukienda sokoni kununua Mboga jifushe mara mbili kwa siku.
Mtu yeyote anayekutana naye baadhi ya watu km ofisini inapaswa ujifushe mvuke mara 3 kwa siku.

Kwa mujibu wa madaktari, Covid -19 inaweza kuuawa na kujifusha mvuke kupitia puani na mdomoni, kuondoa Coronavirus.

Kwa hiyo hapa kuna pendekezo:
* Anza mchakato kwa wiki kutoka asubuhi na jioni, kwa dakika 5 tu kila wakati, jifushe mvuke.
Covid-19 itafutwa.
Tabia hii haina madhara.
Basi tuma ujumbe huu kwa jamaa zako wote, marafiki na majirani, ili sote tuweze kuua hii virusi vya corona pamoja na kuishi na kutembea kwa uhuru katika ulimwengu.
View attachment 1704348
Wapendwa ni tafsiri ya Google ila kirusi hichi ni kile cha mwanzao March 2020 hiki cha sasa scha UK na SA sina uhakikanacho ila tujikinge na kujihadhari , hapa nilipo tuna misiba miwili tunazika leo wote ni COVID tusifiche eti KIDERI au kupumua
 

Attachments

  • 1613542451595.png
    1613542451595.png
    18.5 KB · Views: 1
The only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!
depends on our economic situation.hand to mouth basis.swahil say rizik ya mbwa ipo miguun kwake
 
Back
Top Bottom