Nani alikueleza leta picha tuone au news za kiingreza tuone
Kule italy,,kuna padri alikuwa kwenye ventilator,,akamwona kijana mmoja kaletwa yuko hoi,amekosa ventilator,,padri ilibii aombe wamtoe kwenye mashine,wamwekee kijana,,juu yeye ameshaishi miaka mingi,akaona bora kijana apate fighting chance kuliko kumuacha afe angali bado mdogo,
Padri akafa