Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Today, for some events or incidents; and for some of the times or all the times;people who do not use internet or have no access to internet(social networks); have only access to news about those evente or incidents but not access to information following that news.
Kwa hali ya sasa,kwa baadhi ya matukio, kama hutumii mitandao ya kijamii; ni vigumu sana kupata details za nini hasa kinaendeleoa au nini hasa kimetokeo/kikitokea.
Kwa mfano,mtu ambae hana access na mitandao anajua kwa undani nini kikitokea katika chaguzi ndogo zinazolalamikiwa na wapinzani?Zile picha tulioziona mitandaoni nao waliziona?
Kwa sasa hii ndio changamoto kubwa ninayoiona na ambayo inabidi ifanyiwe utafiti hata usio rasimi ili kuweza kujua ni namna gani inatuathiri na nini kifanyike kabla ya 2020.
Unaweza kukuta ni asilimia ndogo ya watu ambao wana details na hali haisi iliyopo huku wengi wanasikia juu juu tu kuhusu yaliyoyokea au yanayoendelea kutokea na hivyo kutojali au kudhani ni kelele tu za wanasiasa wanaotafuta huruma ya wananchi.