hii ndio ghofu yangu ilionipelekea kuaga

bilaa shakaa mungu atakujaliaa utapona..kwa walee ndugu zangu waislam..tumsomee dadaa yatu kulhalau tatu
 
Jamani Pole sana Nilham Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. duh jaman haya magonjwa ya moyo zamani tulijua ni ya wazee siku hizi hata vijana yanatupata.Pole sana utapona kwa neema zake maulana
 
Kama tulivyozungumza InshaAllah uwende salama Sitachoka kusubiri subira uvua kheri InshaAllah urudi salam akujaalia ya kheir Upone haraka na mwili unawiri Dua njema nakuombea akuponyeshe Kahari Ukisharudi unipe nzuri habari Waeleze jamaa mimi ndo wako daktari Hivi nipo kwenye basi naenda safari Kuweka mikakati yakuleta mahari InshaAllah urudi salama ili mambo yawe shwari

Nakudedicate nyimbo ya Alicia Keys No One........

http://www.youtube.com/watch?v=rywUS-ohqeE



"No One"

I just want you close
Where you can stay forever
You can be sure
That it will only get better

You and me together
Through the days and nights
I don't worry 'cause
Everything's going to be alright
People keep talking they can say what they like
But all i know is everything's going to be alright

No one, no one, no one
Can get in the way of what I'm feeling
No one, no one, no one
Can get in the way of what I feel for you, you, you
Can get in the way of what I feel for you

When the rain is pouring down
And my heart is hurting
You will always be around
This I know for certain

You and me together
Through the days and nights
I don't worry 'cause
Everything's going to be alright
People keep talking they can say what they like
But all i know is everything's going to be alright

No one, no one, no one
Can get in the way of what I'm feeling
No one, no one, no one
Can get in the way of what I feel for you, you, you
Can get in the way of what I feel

I know some people search the world
To find something like what we have
I know people will try, try to divide something so real
So till the end of time I'm telling you there ain't no one

No one, no one, no one
Can get in the way of what I'm feeling
No one, no one, no one
Can get in the way of what I feel for you, you, you
Can get in the way of what I feel for you

oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh oh
 
nakuombe upate heri na afya njema na matibabu yafanikiwe mpendwa. God be with you
 
yaani mwenzenu anaumwa nyie mnamgongea ma senks? magreti thinka bana

bek to ze topik: pole sana ze one and ze only Nilham rasheed
 
get well soon nilham!!

we are praying for ur wellbeing... inshaaalah mola atakusaidia:pray:
 
s.aleykum....... akhbari zenu myoooote kwa ujumla ??? naituma post hii kwa mashaka na ghofu iliyoitawala nafsi yangu...... kama nilivyowajulisha awal nilikutwa na heart attack.....leo ile siku imewadia tena ya kwenda kuchukuwa my last xrays....nilizo andikiwa zilikuwa tatu nilipata ya pili mwezi uliopita ikawa tatizo bado lipo ikiwa imepunguwa 75% niliongezewa zaidi matibabu.....sasa siku imewadia ya kwenda kuchukuwa ya mwisho kesho na ikikutwa tatizo bado lipo jamani ndio nitahitajika kwa ionajili ya operattion kwakuwa wamesema itakuwa no way out...kwa ajili nikiendelea kukukaa ndio dawa zitazidisha kama tatizo limegoma kuondoka askum lkheyr inshallah .........

ningependa sana sana dua zenu...ndio maana nimewajulisha na nitakuwa offline about 5days i will miss u all..... may allah bless me to come back again inshallah....

urs nilham rashed........:thinking::thinking:
Namuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu Mola wa Arshi tukufu akuponyeshe Insha'Allah.
 
ikitokea unatakiwa heart transplant naomba nikupatie wa kwangu.
 
Mungu mwenye enzi yote kwa rehema zako na wingi wa uumbaji usio na wa wala doa Muangalie binti huyu na jinsi ulivyogaramika kumuumba basi kwa sala zetu twaomba heri umponye na maombi yake
inshallah uzidi kutuletea uumbaji kama huu kwenye uzao wetu hasa "Jicho"lake kwa mola tunaomba
AMEN
 
Back
Top Bottom