Hii ndio english ya kiswahili

Hii ndio english ya kiswahili

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,003
Reaction score
37,908
Jana kuna mtu alinizingua sana, so nikawa nimekaa barazani kwangu nikiwa katika lindi la mawazo. Jirani yangu one Mr. Kapimpiti alipita na kunisalimia. But sikuweza kum - notice kwa sababu akili yangu haikuwa mahali hapo.

Sasa basi leo, nikiwa naelekea dukani kununua vitu viwili vitatu nikakutana na Kapimpiti, akaanza kwa kuniambia :

" Yesterday i saw you at your home, and i was greeting and greeting and greeting but no response "

Akimaanisha

" JANA NILIKUONA NYUMBANI KWAKO, NA NIKAKUSALIMIA, NAKUKUSALIMIA, NAKUKUSALIMIA, LAKINI HUKUNIJIBU!"




Nikiwa najiandaa kumjibu, hafla tukakutana na jamaa, one Mr. BUHWAHWA. Mr. BUHWAHWA ana mdai Mr. Kapimpiti hela. Tulipokutana Mr. B akamkwida Mr. K akimtaka amrudishie pesa zake.

Mr. KAPIMPITI akamwambia Mr. BUHWAHWA :

" YOU WANT TO BEAT ME?!!! BEAT ME!!! BEAT ME!!! BEAT ME!!!

Akimaanisha " UNATAKA KUNIPIGA?!!! NIPIGE !!! NIPIGE!!! NIPIGE!!!.

Mr. BUHWAHWA akampiga Mr. KAPIMPITI kibao kimoja cha haja. Mr Kapimpiti akasema :

" YOU HAVE BEAT ME!!! DEVELOP TO BEAT ME ! BEAT ME UNTILL YOU GET TIRED!

Akimaanisha :" UMENIPIGA! ENDELEA KUNIPIGA HADI UTAKAPO CHOKA !"

Basi nikaona niwaamue, nikiwa katika harakati za kuwaamua, Mr. K akaniambia

" PLEASE DONT SEPARATE ME ! DONT SEPARATE ME !

Akimaanisha " TAFADHALI USINIAMUE!!! USINIAMUE!!!

Kwa sababu nilikuwa nna haraka sana, nikaamua kuendelea na hamsini zangu huku nikiwaacha wakiwa bado wamekwidana.

Masaa mawili baadaye, nikaenda nyumbani kwa Mr. KAPIMPITI na kumuuliza. " Vipi kaka ilikuwaje? jamaa alikupiga ? "

Akanijibu " DARE !" Akimaanisha " THUBUTU!"

Nikamwambia ila angalia sana kaka, unajua BUHWAHWA huwa anacheza kareti, anaweza kukupiga na kukuumiza vibaya sana !.
Akanijibu : " BUHWAHWA TO BEAT ME?!!! EVEN A SINGLE DAY !!!
Akimaanisha " BUHWAHWA KUNIPIGA MIMI!!! HATA SIK U MOJA !
Nikamwabia ok sawa, ila pia jamaa ana hela hela, anaweza kuwahonga polisi wakaja kukukamata :
Akajibu " AAH! WHERE !!! Akimaanisha " AAH! WAPI!!!
Baadaye tukasikia hodi inapigwa mlangoni, wakati hodi inapigwa mlangoni, Mr. BUHWAHWA akawa anajibu : " NEAR "

Akimaanisha " KARIBU!".
Basi wakati anakwenda kuwafungulia wageni mlangoni, ukawa unapigwa wimbo wa AY na FA unaoitwa " HABARI NDO HIYO ". Mr. BUHWAHWA akawa anaufuatilizia ule wimbo, akiimba:
" THE THE THE NEWS IS THAT, THE THE THE NEWS IS THAT x2 .
OLDY PEOPLEEEEEEEEEE !

Akiwa anamaanisha : " HA HA HABARI NDO HIYO HA HA HABARI NDO HIYO
MAZEEEE !
Alipofungua mlango, aliingia MR. BUHWAHWA akiwa na polisi wawili. Niliondoka haraka sana katika eneo la tukio kwa sababu huwa nawahusisha polisi na badluck !
 
teh teh teh ni noma...don't try!don't try,don't try!
 
Watanzania wengi wakiongea hivyo wanaelewana sijui tatzo nn kuongea kiingereza cha kitanzania na kuitambulisha kama aina tofauti ya lugha.

Mbona jamaica wanayo kizungu chao?
 
Umetisha sana


Jana kuna mtu alinizingua sana, so nikawa nimekaa barazani kwangu nikiwa katika lindi la mawazo. Jirani yangu one Mr. Kapimpiti alipita na kunisalimia. But sikuweza kum - notice kwa sababu akili yangu haikuwa mahali hapo.

Sasa basi leo, nikiwa naelekea dukani kununua vitu viwili vitatu nikakutana na Kapimpiti, akaanza kwa kuniambia :

" Yesterday i saw you at your home, and i was greeting and greeting and greeting but no response "

Akimaanisha

" JANA NILIKUONA NYUMBANI KWAKO, NA NIKAKUSALIMIA, NAKUKUSALIMIA, NAKUKUSALIMIA, LAKINI HUKUNIJIBU!"




Nikiwa najiandaa kumjibu, hafla tukakutana na jamaa, one Mr. BUHWAHWA. Mr. BUHWAHWA ana mdai Mr. Kapimpiti hela. Tulipokutana Mr. B akamkwida Mr. K akimtaka amrudishie pesa zake.

Mr. KAPIMPITI akamwambia Mr. BUHWAHWA :

" YOU WANT TO BEAT ME?!!! BEAT ME!!! BEAT ME!!! BEAT ME!!!

Akimaanisha " UNATAKA KUNIPIGA?!!! NIPIGE !!! NIPIGE!!! NIPIGE!!!.

Mr. BUHWAHWA akampiga Mr. KAPIMPITI kibao kimoja cha haja. Mr Kapimpiti akasema :

" YOU HAVE BEAT ME!!! DEVELOP TO BEAT ME ! BEAT ME UNTILL YOU GET TIRED!

Akimaanisha :" UMENIPIGA! ENDELEA KUNIPIGA HADI UTAKAPO CHOKA !"

Basi nikaona niwaamue, nikiwa katika harakati za kuwaamua, Mr. K akaniambia

" PLEASE DONT SEPARATE ME ! DONT SEPARATE ME !

Akimaanisha " TAFADHALI USINIAMUE!!! USINIAMUE!!!

Kwa sababu nilikuwa nna haraka sana, nikaamua kuendelea na hamsini zangu huku nikiwaacha wakiwa bado wamekwidana.

Masaa mawili baadaye, nikaenda nyumbani kwa Mr. KAPIMPITI na kumuuliza. " Vipi kaka ilikuwaje? jamaa alikupiga ? "

Akanijibu " DARE !" Akimaanisha " THUBUTU!"

Nikamwambia ila angalia sana kaka, unajua BUHWAHWA huwa anacheza kareti, anaweza kukupiga na kukuumiza vibaya sana !.
Akanijibu : “ BUHWAHWA TO BEAT ME?!!! EVEN A SINGLE DAY !!!
Akimaanisha “ BUHWAHWA KUNIPIGA MIMI!!! HATA SIK U MOJA !
Nikamwabia ok sawa, ila pia jamaa ana hela hela, anaweza kuwahonga polisi wakaja kukukamata :
Akajibu “ AAH! WHERE !!! Akimaanisha “ AAH! WAPI!!!
Baadaye tukasikia hodi inapigwa mlangoni, wakati hodi inapigwa mlangoni, Mr. BUHWAHWA akawa anajibu : “ NEAR “

Akimaanisha “ KARIBU!”.
Basi wakati anakwenda kuwafungulia wageni mlangoni, ukawa unapigwa wimbo wa AY na FA unaoitwa “ HABARI NDO HIYO “. Mr. BUHWAHWA akawa anaufuatilizia ule wimbo, akiimba:
“ THE THE THE NEWS IS THAT, THE THE THE NEWS IS THAT x2 .
OLDY PEOPLEEEEEEEEEE !

Akiwa anamaanisha : “ HA HA HABARI NDO HIYO HA HA HABARI NDO HIYO
MAZEEEE !
Alipofungua mlango, aliingia MR. BUHWAHWA akiwa na polisi wawili. Niliondoka haraka sana katika eneo la tukio kwa sababu huwa nawahusisha polisi na badluck !
 
Umejitahidi kutunga lakini hukutumia akili ! umechapia hadi KARIBU mtu aseme NEAR ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom