LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,303
Kuna jamaa mtaani kwetu (27 years of age ) anapenda sana kuongea kuhusu mambo ya watu yaani kwa kifupi ni mbeya, mimi mwenyewe tangu nihamie mtaa huu nina miezi mitatu but tayari ashaanza kufatilia na kuongea kuhusu maisha yangu . Nikaamua kufanya kitu kimoja ili kumsaidia. Nilimtongoza mama yake ( 52 years of age, mmama wa mjini analipa ), nikaanza kuwa namchapa nao. Halafu siku moja ( wiki mbili zilizopita ) nikacheza dili na vijana wahuni wa pale mtaani, tutengeneze mazingira jamaa anikute nikiwa nampa dushelele bimkubwa wake. Kweli ikafanyika, jamaa akaambiwa kuna kitu kibaya nakifanya so twende ukashuhudie, akaletwa hadi mghetoni akanikuta nipo kwenye FRAGRANTE DELICTO na mama yake mzazi, Jamaa aliishiwa nguvu, akabaki kuzuga kama zoba then akasepa zake. Tangu siku hiyo sikumuona tena hadi juzi usiku ambapo nilimpa hi akanipotezea like hataki stori na mimi, nikamfata nakumshika huku nikimuuliza ni kosa gani nimemfanyia hadi akatae salamu yangu, akawa ananiambia nimuachie baadaye nikamuuliza " SIKU ILE ULINIKUTA NIPO GHETO NAMBAMBA MAZA WAKO, VIPI MBONA MPAKA LEO SIJASIKIA KWA WATU?& MBONA HUJAENDA KUSEMA KWA BABA YAKO KWAMBA UMENIKUTA NIPO GHETO NAMBAMBA MAZA WAKO!! "
Kabla hajanijibu,nikaona inzi wanaanza kusogea eneo la tukio, so nikamtema jamaa kwa sababu sikutaka watu wajue kitu gani kinaendelea, ingawa nahisi habari zimeshaanza kuzagaa mtaani. Sasa hivi wale wahuni nilio cheza nao dili wakimuona, wanamwambia, NENDA KASEME BASI..
DAWA YA MWANAUME MMBEYA ANAYE ONGEA ONGEA KUHUSU STORI ZAKO NI KUMMEGEA MAMA YAKE MZAZI, HALAFU UNAMTENGENEZEA MAZINGIRA YA KUJUA KUHUSU WEWE KUMMEGEA MAMA YAKE MZAZI, HAWEZI TENA KUSEMA KUHUSU STORI ZAKO, KWA SABABU AKIENDA KUWAAMBIA WATU, WATU WATAJUA ANAKUSINGIZIA KWA SABABU UNAMMEGEA MAMA YAKE MZAZI, BUT PIA JAMAA ATAHOFIA AKIZUNGUMZA KUHUSU WEWE ATAIBUA MJADALA WA KUKUHUSISHA WEWE NA MAMA YAKE MZAZI SO HATA ONGEA TENA KUHUSU WEWE. BELIEVE ME!