awp
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,711
- 603
Laana, unamuonyesha mwanawe ili iweje? huyo mama nae ni walewale.sijui hii ni dawa au ujinga au ushababi au kutuonesha u lijali au utuonesha unapenda masugar mami sijui nini tu?
Laana, unamuonyesha mwanawe ili iweje? huyo mama nae ni walewale.sijui hii ni dawa au ujinga au ushababi au kutuonesha u lijali au utuonesha unapenda masugar mami sijui nini tu?
Hivi hujishangai kila mtu anakishangaa ulichokifanya kwa namna yake?Ndio nakwambia sasa mjomba ulitakiwa kusema FOOLISH AGE na sio FOOL AGE. Anyways, i cant say ur wrong brother. U might be very right, tunatofautiana mitazamo na jinsi ya kutoa maoni hapa JF. Ninge apreciate sana kama ungestick kwenye hoja iliyopo mezani kuliko ku attack personality kama ulivyo fanya wewe. With much respect and appreciation
Hoja yake inaweza kuwa toafuti na yako. Bigbro aliuliza kuhusu umri wangu akiwa na lengo la kutaka kujua toafuati ya miaka iliyopo kati yangu na huyo shuga mami. What about u broda?
Kama huko ndo kufikiria nje ya box, basi bora nibaki ndani ya box..Kwa sababu ninafikiria nje ya box.
ulichopost is the highest level of stupidity. Ndiyo maana tunataka kujua umri wako. Mwenye umri kuanzia 25yrs hawezi kuwa mjinga kiasi hicho...how would you feel if she was your mother?
ulichopost is the highest level of stupidity. Ndiyo maana tunataka kujua umri wako. Mwenye umri kuanzia 25yrs hawezi kuwa mjinga kiasi hicho...how would you feel if she was your mother?
Tunachokushangaa ni kudhani m'mbeya anafanyiwa hivyo... Si ukawaone akina gear Habibu wakusaidie kumsuta..?? Wenzio huwa tunawafesi uso kwa uso na kuwaeleza wakifanyacho si sahihi.. Sasa wewe unadhani hicho ulichokifanya ni kufikiri nje ya box... A fool always flatters himself,Nimeweka sentensi inasema " Vijana wa kitanzania washauriwa kuanzisha vikundi vya ujasiriamali ". Halafu mtu anatoa maoni yake kuhusu neno " kuanzisha" , meaning katika sentensi yote ameona neno " katika ". Coming back to u " Yaani katika maelezo yangu yoote, wewe umeona neno " mother !" tu, maneno mengine ya kwenye uzi wangu hujayaona?. Hujaona kuhusu tabia za umbeya wa huyo jamaa and all that? Vipi mjomba?
Ndo maana nikasema ninafikiria nje ya box unalo fikiria wewe. Mi nadhani wewe utakuwa sio rizki u know y? kwanza matusi! mtoto wa kiume kutukana tukana na matusi ni dalili ya kutokuwa rizki, halafu pili kunishauri niende nikamuone Gea Habib anisaidie kumsuta. Kumbe nilikuwa napoteza muda wangu ku argue na kuchu? Mtoto wa kiume unaweza vipi kutoa ushauri wa ki khanithi kama huu!!!Tunachokushangaa ni kudhani m'mbeya anafanyiwa hivyo... Si ukawaone akina gear Habibu wakusaidie kumsuta..?? Wenzio huwa tunawafesi uso kwa uso na kuwaeleza wakifanyacho si sahihi.. Sasa wewe unadhani hicho ulichokifanya ni kufikiri nje ya box... A fool always flatters himself,
..... na hapa ndo naishia kuchangia kwenye michango yako ndani ya hii thread...Ndo maana nikasema ninafikiria nje ya box unalo fikiria wewe. Mi nadhani wewe utakuwa sio rizki u know y? kwanza matusi! mtoto wa kiume kutukana tukana na matusi ni dalili ya kutokuwa rizki, halafu pili kunishauri niende nikamuone Gea Habib anisaidie kumsuta. Kumbe nilikuwa napoteza muda wangu ku argue na kuchu? Mtoto wa kiume unaweza vipi kutoa ushauri wa ki khanithi kama huu!!!