Hii ndio dawa ya kukomesha vurugu Bungeni

Hii ndio dawa ya kukomesha vurugu Bungeni

Mwandishi uwezowako wa kufikili ndo umafikia hapo au unatafuta cheo kwa magufuli? Na wewe bila shaka ni mbunge wa ccm na unanyemelea uwaziri! Utumbo umeandika tena wa kondoo,wewe unajua wapinzani ndo wanaofaa adhabu za kuku hizo? Na unaona adhabu hivo ndo utakuwa unapitisha ujinga wenu vzr tu'! Nadhani wewe unasahau kama hata wapinzani walikuwa ccm ila tofauti za mawazo na mitazamo ndo zimewafanya muwaone maadui leo,lkn ipo cku ....
 
Mkuu kwa ibara ya 34 kifungu kidgo cha 5 mistari ya 4,5 na 7. Ungekua bungeni ungefungwa
 
USHAURI WANGU KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Katika kudhibiti utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wanaofanya Fujo mbalimbali Bungeni na kupelekea hadhi ya Bunge kushuka, Kama mwananchi wa kawaida napendekeza yafuatayo yaongezwe katika kanuni za kudumu za Bunge zinazohusu adhabu pindi Mbunge anapofanya makosa yanayoshusha hadhi ya Bunge letu Tukufu :-

1.Adhabu kwa Mbunge anayesimamishwa Bungeni iongezwe mara dufu, kwa kuwa Wabunge wanaosimishwa Bungeni wanapoenda kwa wananchi wamekuwa wanapotosha sana kuhusu sababu za wao kupewa adhabu. Kuhusu suala hili napendekeza yafuatayo yafanyike katika kurekebisha suala hili, nashauri Mbunge asipewe posho pamoja na Mshahara wake ukatwe wote, pia azuiliwe asifanye mkutano wowote ule wa kisiasa Jimboni kwake au sehemu nyingine pamoja na kuzuiliwa kuongea na Vyombo vya habari kwa kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu yake.

2.Mbunge azuiliwe kufanya shughuli zozote zile za kibunge katika kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu aliyopewa na Bunge.

3.Wabunge wanaoingia Bungeni na kusign mahudhurio halafu wakatoka bila kufanya kazi yoyote ile wahesabike sawa na watoro au watumishi hewa, hivyo basi hawatakiwi kupewa posho hata kidogo pia wanatakiwa kulipwa nusu ya mishahara yao.
Kwanini CCM mnakuwa waoga kukabili hoja?
Yakifanyika haya naamin heshima ya Bunge itarudi.Adhabu yoyote ile malengo yake huwa ni kubadilisha tabia ya mtu na sio kumkomoa.Ahsanteni
By Abel Magembe Lugimba.
 
Hongera mkuu. Umewakilisha vyema kabisa. Ni picha halisi ya wale waliobeba furushi la duara juu ya shingo ambalo ndani yake kuna product ya mwisho kabisa na chakula anachokual mtu kwa lugha ya kizungu 'feces". na kwa hiyo ndiyo wanafikiri. Uko juu mkuu!. Hongera sana.
Furushi kama LA mbowe hahahjaja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mawazo yako yakifanyiwa kazi,tutabaki na wabunge wa ccm tu,maana wao ndio wabunge wa ndiooooooooooo
 
Back
Top Bottom