Hii ndio dawa ya kukomesha vurugu Bungeni

USHAURI WANGU KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Katika kudhibiti utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wanaofanya Fujo mbalimbali Bungeni na kupelekea hadhi ya Bunge kushuka, Kama mwananchi wa kawaida napendekeza yafuatayo yaongezwe katika kanuni za kudumu za Bunge zinazohusu adhabu pindi Mbunge anapofanya makosa yanayoshusha hadhi ya Bunge letu Tukufu :-

1.Adhabu kwa Mbunge anayesimamishwa Bungeni iongezwe mara dufu, kwa kuwa Wabunge wanaosimishwa Bungeni wanapoenda kwa wananchi wamekuwa wanapotosha sana kuhusu sababu za wao kupewa adhabu. Kuhusu suala hili napendekeza yafuatayo yafanyike katika kurekebisha suala hili, nashauri Mbunge asipewe posho pamoja na Mshahara wake ukatwe wote, pia azuiliwe asifanye mkutano wowote ule wa kisiasa Jimboni kwake au sehemu nyingine pamoja na kuzuiliwa kuongea na Vyombo vya habari kwa kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu yake.

2.Mbunge azuiliwe kufanya shughuli zozote zile za kibunge katika kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu aliyopewa na Bunge.

3.Wabunge wanaoingia Bungeni na kusign mahudhurio halafu wakatoka bila kufanya kazi yoyote ile wahesabike sawa na watoro au watumishi hewa, hivyo basi hawatakiwi kupewa posho hata kidogo pia wanatakiwa kulipwa nusu ya mishahara yao.

Yakifanyika haya naamin heshima ya Bunge itarudi.Adhabu yoyote ile malengo yake huwa ni kubadilisha tabia ya mtu na sio kumkomoa.Ahsanteni
By Abel Magembe Lugimba.

Akili yako ndogo!
 
Wewe ni kuku wa kisasa kama walivyo kuku wengine wa kisasa!!
 
U

Ukoo wa CCM utaugundua tu,lakini mkumbuke hii inchi ya wote,ipo siku na nyie mtakuja kuwa wapinzani
 
Hongera mkuu. Umewakilisha vyema kabisa. Ni picha halisi ya wale waliobeba furushi la duara juu ya shingo ambalo ndani yake kuna product ya mwisho kabisa na chakula anachokual mtu kwa lugha ya kizungu 'feces". na kwa hiyo ndiyo wanafikiri. Uko juu mkuu!. Hongera sana.

Umenichekesha sana. Huyu alifikiri kwa kutumia Masaburi!!!
 
Wenzako wanawamiss wabunge wa upinzani Bungeni au haujasikia?

Wabunge wanachaguliwa na Bunge?

Inaonekana hata sheria za nchi hauzijui, mkuu mambo ya nusu mshahara yalishafutwa mkuu, hakuna tena kitu kama hicho

Mkuu..
Afadhali umsaidie huyu mvaa Pampas sababu bado ni Armature...
 
Mleta mada sidhani kama umefikiri vizuri, nilipoona una nywele nyingi nikajua akili ni nywele zina faida kumbe za kwako ni bure tu. Kanyoe. Kama unafikiri kukaa wabunge wa upande mmoja ni tija mbona wakitoka wa upinzani hatuoni hoja za mashiko kutoka kwa hao watulivu? Chukua hatua "tumia akili"
 
USHAURI WANGU KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Katika kudhibiti utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wanaofanya Fujo mbalimbali Bungeni na kupelekea hadhi ya Bunge kushuka, Kama mwananchi wa kawaida napendekeza yafuatayo yaongezwe katika kanuni za kudumu za Bunge zinazohusu adhabu pindi Mbunge anapofanya makosa yanayoshusha hadhi ya Bunge letu Tukufu :-

1.Adhabu kwa Mbunge anayesimamishwa Bungeni iongezwe mara dufu, kwa kuwa Wabunge wanaosimishwa Bungeni wanapoenda kwa wananchi wamekuwa wanapotosha sana kuhusu sababu za wao kupewa adhabu. Kuhusu suala hili napendekeza yafuatayo yafanyike katika kurekebisha suala hili, nashauri Mbunge asipewe posho pamoja na Mshahara wake ukatwe wote, pia azuiliwe asifanye mkutano wowote ule wa kisiasa Jimboni kwake au sehemu nyingine pamoja na kuzuiliwa kuongea na Vyombo vya habari kwa kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu yake.

2.Mbunge azuiliwe kufanya shughuli zozote zile za kibunge katika kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu aliyopewa na Bunge.

3.Wabunge wanaoingia Bungeni na kusign mahudhurio halafu wakatoka bila kufanya kazi yoyote ile wahesabike sawa na watoro au watumishi hewa, hivyo basi hawatakiwi kupewa posho hata kidogo pia wanatakiwa kulipwa nusu ya mishahara yao.

Yakifanyika haya naamin heshima ya Bunge itarudi.Adhabu yoyote ile malengo yake huwa ni kubadilisha tabia ya mtu na sio kumkomoa.Ahsanteni
By Abel Magembe Lugimba.
Na mbunge anaeingia bungeni halafu akalala
 
Wewe ni kilaza wa mwendo kasi
 
Hvi umemaliza la saba kweli. Maana hata la saba anauwezo mkubwa wa kuchambua Mambo. Huwezi andika ujinga kama huu. Nenda kasome nini maana ya Demokrasia labda itakufungua na la 7 lako.
 
USHAURI WANGU KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Katika kudhibiti utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wanaofanya Fujo mbalimbali Bungeni na kupelekea hadhi ya Bunge kushuka, Kama mwananchi wa kawaida napendekeza yafuatayo yaongezwe katika kanuni za kudumu za Bunge zinazohusu adhabu pindi Mbunge anapofanya makosa yanayoshusha hadhi ya Bunge letu Tukufu :-

Utukufu kwa Mungu juu, na amani duniani kwa watu wote wenye mapenzi mema. Utukufu wa Bunge ni pale linapoweza kuisimamia serikali, sio serikali kulisimamia bunge. Twende sawa hapo kwanza.

1.Adhabu kwa Mbunge anayesimamishwa Bungeni iongezwe mara dufu, kwa kuwa Wabunge wanaosimishwa Bungeni wanapoenda kwa wananchi wamekuwa wanapotosha sana kuhusu sababu za wao kupewa adhabu. Kuhusu suala hili napendekeza yafuatayo yafanyike katika kurekebisha suala hili, nashauri Mbunge asipewe posho pamoja na Mshahara wake ukatwe wote, pia azuiliwe asifanye mkutano wowote ule wa kisiasa Jimboni kwake au sehemu nyingine pamoja na kuzuiliwa kuongea na Vyombo vya habari kwa kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu yake.

Ili wabunge wasipotoshe wananchi, ni vyema bunge likaoneshwa live ili tupate kuona kwa macho yetu jinsi wawakilishi wetu walivyokosa adabu. Pili, unaonekana ni mwenye dharau sana juu ya Watanzania, yaani TUNAPOTOSHWA, si ndio.....kwa maani hiyo hatuna akili sisi, hatuwezi kufanya reasoning?

2.Mbunge azuiliwe kufanya shughuli zozote zile za kibunge katika kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu aliyopewa na Bunge.

Kwa hili unampa adhabu mbunge au mwananchi? Muda huu ungeutumia kupendekeza adhabu kwa mawaziri na watendaji wanaolisababishia hasara taifa.

3.Wabunge wanaoingia Bungeni na kusign mahudhurio halafu wakatoka bila kufanya kazi yoyote ile wahesabike sawa na watoro au watumishi hewa, hivyo basi hawatakiwi kupewa posho hata kidogo pia wanatakiwa kulipwa nusu ya mishahara yao.

Yakifanyika haya naamin heshima ya Bunge itarudi.Adhabu yoyote ile malengo yake huwa ni kubadilisha tabia ya mtu na sio kumkomoa.Ahsanteni
By Abel Magembe Lugimba.

Asante kwa ushauri[/QUOTE]
 
USHAURI WANGU KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Katika kudhibiti utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wanaofanya Fujo mbalimbali Bungeni na kupelekea hadhi ya Bunge kushuka, Kama mwananchi wa kawaida napendekeza yafuatayo yaongezwe katika kanuni za kudumu za Bunge zinazohusu adhabu pindi Mbunge anapofanya makosa yanayoshusha hadhi ya Bunge letu Tukufu :-

1.Adhabu kwa Mbunge anayesimamishwa Bungeni iongezwe mara dufu, kwa kuwa Wabunge wanaosimishwa Bungeni wanapoenda kwa wananchi wamekuwa wanapotosha sana kuhusu sababu za wao kupewa adhabu. Kuhusu suala hili napendekeza yafuatayo yafanyike katika kurekebisha suala hili, nashauri Mbunge asipewe posho pamoja na Mshahara wake ukatwe wote, pia azuiliwe asifanye mkutano wowote ule wa kisiasa Jimboni kwake au sehemu nyingine pamoja na kuzuiliwa kuongea na Vyombo vya habari kwa kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu yake.

2.Mbunge azuiliwe kufanya shughuli zozote zile za kibunge katika kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu aliyopewa na Bunge.

3.Wabunge wanaoingia Bungeni na kusign mahudhurio halafu wakatoka bila kufanya kazi yoyote ile wahesabike sawa na watoro au watumishi hewa, hivyo basi hawatakiwi kupewa posho hata kidogo pia wanatakiwa kulipwa nusu ya mishahara yao.

Yakifanyika haya naamin heshima ya Bunge itarudi.Adhabu yoyote ile malengo yake huwa ni kubadilisha tabia ya mtu na sio kumkomoa.Ahsanteni
By Abel Magembe Lugimba.

Wabunge huchaguliwa na wananchi kuwa wawakilishi wao katika kuwaletea maendeleo na bunge haliwezi kuzuia shughuli zao za kibunge nje ya jengo la bunge. Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba ilikuwa na namna ya kumwajibisha mbunge kwa mfumo kama unaoupendekeza wenzetu wakaitupilia mbali kabisa kwa kulinda nafasi zao za uwakilishi siziguswe hadi wamalize mhula wao wa miaka mitano. .
 
Abel magembe, unaumri gani?
Unasoma darasa la ngapi?!
 
Sikiliza hoja zenye akili, ni swala la kufuata vifungu ya sheria na kanuni, a uendeshaji wa bunge sio kama unavyo ropoka wewe

Sababu za kukataliwa Naibu Spika na wapinzani

Khamis Mkotya na Aziza Masoud, Dodoma

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza sababu sita zilizoisukuma kambi hiyo kuwasilisha ofisini kwa Spika, taarifa ya kusudio la kupeleka bungeni hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge jana, mwakilishi wa wabunge wa kambi hiyo, James ole Millya, alisema tangu ameanza kuliongoza Bunge, Dk. Tulia ameonyesha udhaifu mkubwa, ndiyo maana kambi hiyo inataka kiongozi huyo aondolewe kwa azimio la Bunge.

Millya ambaye ni Mbunge wa Simanjiro (Chadema), alisema pamoja na mambo mengine, Naibu Spika amevunja kanuni ya 8 (b) inayokataza upendeleo na kanuni ya 5 (1) inayomtaka Spika kuzingatia mila na desturi na uamuzi wa maspika wa mabunge mengine.

Millya alisema hoja yao imejikita katika kanuni ya 138 (1) inayosema: “Utaratibu wa kumwondoa madarakani Naibu Spika chini ya Ibara ya 85 (4) (c) ya Katiba utakuwa kama ule wa kumwondoa Spika, ispokuwa tu taarifa ya kusudio la kumwondoa Naibu Spika madarakani inayoeleza sababu kamili za kuleta hoja hiyo itapelekwa kwa Spika ambaye ataiwasilisha kwenye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kujadili,” alinukuu.

Millya ambaye aliongozana na Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Shaali Mngwali (CUF), alieleza sababu hizo kama ifuatavyo:

“Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameweka mbele maslahi ya chama chake cha siasa kuliko maslahi ya Bunge kinyume na kanuni ya 8 (b) ya Kanuni za Kudumu za Bunge.

“Tarehe 6 Mei, 2016 Naibu Spika alitumia vibaya madaraka ya kiti cha Spika kwa kutoa uamuzi wa mwongozo ambao ulikua unakiuka ibara ya 12 (2) ya Katiba isemayo kuwa; “Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake” mwongozo uliokuwa unapinga udhalilishaji wa wanawake.

“Tarehe 28 Aprili, 2016 Naibu Spika alivunja kanuni ya 64 (1) zinazokataza mbunge kutumia lugha ya matusi kwa mbunge au mtu mwingine yeyote na kukataza matumizi ya lugha ya kuudhi au kudhalilisha watu wengine, ambako Naibu Spika alinukuliwa akisema: “Mheshimiwa Bwege, usionyeshe ubwege wako humu ndani…”

“Tarehe 30 Mei, 2016 Naibu Spika aliamua kwa makusudi kuvunja ibara ya 63 (2) ya Katiba kwa kutumia vibaya kanuni ya 69 (2) na 47 (4) ya kanuni za kudumu kumhusisha mh Joshua Nassari kwa upande mmoja na Bunge zima kwa upande wa pili kutimiza majukumu yake ya kikatiba ya kuisimamia na kuishauri Serikali,” alisema.
 
Yaani haya manyumbu majinga kweli. Ni rahisi sana kuwapoteza.

Yaani wawaache tu watoke nje. Halafu wapitishe kanuni mpya kali sana wakirudi tayari wamesha banwa.
Agness Marwa upo poa?
 
Is that a school or prison or remand or jail or what?
Yaan mkitofautiana mawazo tu kosa.
Wonders will never end!!
 
USHAURI WANGU KWA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Katika kudhibiti utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wanaofanya Fujo mbalimbali Bungeni na kupelekea hadhi ya Bunge kushuka, Kama mwananchi wa kawaida napendekeza yafuatayo yaongezwe katika kanuni za kudumu za Bunge zinazohusu adhabu pindi Mbunge anapofanya makosa yanayoshusha hadhi ya Bunge letu Tukufu :-

1.Adhabu kwa Mbunge anayesimamishwa Bungeni iongezwe mara dufu, kwa kuwa Wabunge wanaosimishwa Bungeni wanapoenda kwa wananchi wamekuwa wanapotosha sana kuhusu sababu za wao kupewa adhabu. Kuhusu suala hili napendekeza yafuatayo yafanyike katika kurekebisha suala hili, nashauri Mbunge asipewe posho pamoja na Mshahara wake ukatwe wote, pia azuiliwe asifanye mkutano wowote ule wa kisiasa Jimboni kwake au sehemu nyingine pamoja na kuzuiliwa kuongea na Vyombo vya habari kwa kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu yake.

2.Mbunge azuiliwe kufanya shughuli zozote zile za kibunge katika kipindi chote atakachokuwa anatumikia adhabu aliyopewa na Bunge.

3.Wabunge wanaoingia Bungeni na kusign mahudhurio halafu wakatoka bila kufanya kazi yoyote ile wahesabike sawa na watoro au watumishi hewa, hivyo basi hawatakiwi kupewa posho hata kidogo pia wanatakiwa kulipwa nusu ya mishahara yao.

Yakifanyika haya naamin heshima ya Bunge itarudi.Adhabu yoyote ile malengo yake huwa ni kubadilisha tabia ya mtu na sio kumkomoa.Ahsanteni
By Abel Magembe Lugimba.
Mkuu,
Ushauri wako ni mzuri sana ktk kudhibiti utovu wa nidhamu, hasa mitaani ndo wafaa zaidi..
 
Back
Top Bottom