Hii ndio dar

Hii lini mkuu englibertm?
Afu ungetaja eneo kwa Kila Picha mkuu wengine haut kujui huko njia panda ya ulaya!
 
Last edited by a moderator:
Dar haistahili kuwa na mafuriko kwani bahari ipo karibu sna kudirect maji. Tatzo ni POOR City Plan, Poor Drainage System, Poor Governance (both Gvt + City Councils),nk. Kuna uwezekano mkubwa wakujenga madaraja makubwa na mapana hayo hayo yakawa barabara, huku yakimwaga maji baharini. Wenzetu wanatafiti kuishi sayari ya Mars, sie tunalia lia na mafuliko, kitu kidogo hiki!! Je zikija zile Earthquakes, Tusnami (Hurricans), Mioto mikubwa, Ally Kaida?
 
Hapo ndipo Yanga wanataka kujenga uwanja wa mpira! Yanga bwana! Mwaka wa mikosi, mara Al Ahly, mara Azam, mara mafuriko, duuh!
 

mamu the catalyst unahamasisha uharibifu wa mazingira baharin,fikiri njia nyingine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…