Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,570
TandaleOne ndugu Nnauye Jr pale mzumbe amesoma mara moja au mbili? Ninavyofahamu mimi na niko shule unapoma Master Dessertation yako inatakiwa ufanye kwenye "elective modules" ulizochagua mfano kama alichagua say "Human Resources" angefanya kwenye hiyo eneo au kama ni "Marketing" angefanya kwenye hilo eneo. Labda kama elective yake ilikuwa ni "Political science" kitu ambacho sina uhakika kama inalandana na "Business Administration"Soma tena hiyo post usikurupuke kukosoa!
Last edited by a moderator: