Halafu mnajiuliza, vipi Bakhresa alianza kwa kuuza viatu vya kushona sasa kawa bilionea.
Majibu mnayo lakini mna ujinga wa kuzaliwa, hamyaoni.
Ulilipa zote? Sioni mahali kaandika jumla au kuna karatasi nyingine?
Wewe kufia kote dini mbona hujawa billionea?? Wenzako wana visima vya mafuta kule arabuni
Hunijuwi tu. Kama ni ubilionea wa shillingi tu, basi AlhamduliLlahi ni zaidi ya huo.
Wenye hela wanabwata hivyo unavyobwata? 24/7 humo humu. Au zako chuma ulete?
Mgosi hiyo ni masaa 24 kwa siku saba. Yaan mchana na usiku wiki nzimanitoe ushamba ndugu sijui maana ya 24/7
Wenye hela wanabwata hivyo unavyobwata? 24/7 humo humu. Au zako chuma ulete?