Hii ndio bendera ya mashoga,choma moto popote uinapo Tanzania...

kwani mada ni nini?
Hii hapa..
Screenshot_20190619-084946.jpeg
 
Rejea ulichosema kua hukumu ya kifo ilikuwepo tangu enzi za Manabii na Mitume ndio nimekuuliza nitajie Shoga au Msagaji aliyeuliwa enzi za Mitume na Manabii,

Hili nilikujibu,labda kama unasoma kwa wasi wasi. Sona tena nilichokiandika huko juu.
Sababu hata kwenye Quran HAKUNA sehemu imeandikwa kua Shoga na Msagaji wauawe na kama ipo weka hapa Aya tuisome,
Kwani kwenye Qur'aan kumeandikwa namna gani tusali ? Lakini mbona tunasali ?

Hapa unatakiwa kutuliza akili hasa.
 
Unasema kuhusu Sodoma na Gomora kila siku ndio mfano wenu, nilishakuuliza hili swali unaweza kuiweka historia ya Sodoma na Gomora hapa ukakimbia.

Nacheka sana unasema nilikimbia ? Sina sifa hiyo bibie na uzushi hapa mwiko.

Una amini kulitokea sodoma na gomora ? Kwamba hukubali kilicho tokea au hutaki kukubali kilicho tokea ?
 
Hili nilikujibu,labda kama unasoma kwa wasi wasi. Sona tena nilichokiandika huko juu.

Kwani kwenye Qur'aan kumeandikwa namna gani tusali ? Lakini mbona tunasali ?

Hapa unatakiwa kutuliza akili hasa.
Ni mtu unayependa kubishana lakini hoja kutengeneza zinakushinda lol....

Watu wa aina yako hua mnanitia usingizi tu,

bado swali langu lipo pale pale nitajie Shoga au Msagaji aliyeuliwa enzi za Mitume na Manabii kupitia hiyo sheria ya kuua aliyoitoa Allah,

Pia nioneshe wapi Allah kasema Mashoga na Wasagaji wauawe....

ANGALIZO: Tangu jana maswali ni haya haya kama huna jibu basi mada hii haikufai angalia mbele.
 
Jambo baya na zuri ni kila mtu na anavyolitafsiri kwa mtazamo wake, mfano mimi naweza kusema kutoa roho ya kiumbe chochote ni jambo baya lakini mwingine anafurahi sana akiua viumbe wenzake kwa kua anahisi atapata zawadi

Nimekuuliza swali rahisi unajuaje kama jambo hili ni baya au zuri ? Usilete mitazamo au mifano ya matokeo.

Halafu kufurahia kuua sio kwamba kuna maanisha ni jambo zuri. Jibu nikicho kuuliza.
 
Ni mtu unayependa kubishana lakini hoja kutengeneza zinakushinda lol....

Watu wa aina yako hua mnanitia usingizi tu,

bado swali langu lipo pale pale nitajie Shoga au Msagaji aliyeuliwa enzi za Mitume na Manabii kupitia hiyo sheria ya kuua aliyoitoa Allah,

Pia nioneshe wapi Allah kasema Mashoga na Wasagaji wauawe....

ANGALIZO: Tangu jana maswali ni haya haya kama huna jibu basi mada hii haikufai angalia mbele.

Kwa upeo wako lazima uone tu ushoga na usagaji ni jambo zuri.

Swali lako nimekujibu zaidi ya mara moja na kukupa mifano kadhaa kwa lugha nyepesi mno. Kuna siku nilikutolea mfano wa madawa ya kulevya,bila shaka huu mfano unaukumbuka na leo nimekujibu tena kwa mtindo wa swali muafaka,hapo ulitakiwa kuwaza kiutu uzima tofauti na ulivyo zoea.

Sheria za kiislamu haziishii tu kwenye Qur'aan na sunnah,bali kuna Ijmaa,kuna Qiyaas Sahihi na ada. Haya yote nilikuelezea lakini kwa ujinga wako unajidai hukuliona hili.
 
Ni mtu unayependa kubishana lakini hoja kutengeneza zinakushinda lol....

Watu wa aina yako hua mnanitia usingizi tu,

bado swali langu lipo pale pale nitajie Shoga au Msagaji aliyeuliwa enzi za Mitume na Manabii kupitia hiyo sheria ya kuua aliyoitoa Allah,

Pia nioneshe wapi Allah kasema Mashoga na Wasagaji wauawe....

ANGALIZO: Tangu jana maswali ni haya haya kama huna jibu basi mada hii haikufai angalia mbele.

Kama tangu jana maswali ni haya haya mbona huyajibu bibie ?
 
Back
Top Bottom