Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Unawajua makauzu ??Hahaha! Sipendi kusuka ila sipendi kunyoa pia.
Misukosuko ya maisha inakufanya uwe kauzu mkuu!
Unawajua makauzu ??Hahaha! Sipendi kusuka ila sipendi kunyoa pia.
Misukosuko ya maisha inakufanya uwe kauzu mkuu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hapo kwenye kunyoa hapo
Utoto tu,akikua ataachaUlivyozipangilia utadhani wewe huna mapungufu. Ni ngumu kumpata ambaye atakuwa nazo zote kwa asilimia 100 labda baadhi.
Hahahaaa! Kuna wengine tabia wanakua nazo hawaziachi.Utoto tu,akikua ataacha
Wapo wengi, sema tu hujamtafuta wa aina hyo.Mkuu Siku utakayoenda Veta Kumtengeneza huyo mwanamke wa namna hiyo itabidi unipitie namimi
Hapana!Unawajua makauzu ??
Tutampeleka vetaHahahaaa! Kuna wengine tabia wanakua nazo hawaziachi.
Hawafanyi maombi ndo manaWapo wengi, sema tu hujamtafuta wa aina hyo.
Hata wewe ni kauzu?Hapana!
Erica njoo bas huku Mashahidi wa yehova tusali woteKazana bro kwa mashahidi wa yehova,sabato na mitume utawapata
Itakuwa bora aiseeTutampeleka veta
We jamaa tunaendana sana ila tatizo kumpata ambae ametimia kwangu ni mwaka wa kumi sijampataNapenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke.
Napenda mwanamke asivae wiki
Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja
Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo
Napenda mwanamke akate nywele, (hasisuke)
Napenda mwanamke mtafutaji, ajiamini kuwa anaweza kufanya jambo bila Mwanaume
Napenda mwanamke ambaye siyo mwoga wa kuthubutu na anaweza kusimama mwenyewe
Napenda mwanamke ambaye hana makundi ya marafiki
Napenda mwanamke ambaye hana kucha ndefu, habandiki kope, havai dela bila chupi
Napenda mwanamke ambaye anaridhika, anajituma ili kutimiza malengo aliyokuwa nayo
Napenda mwanamke mcha Mungu na awe na hofu na Mungu, mwenye upendo wa dhati, asiyependa starehe kama kwenda club, kunywa bia n.K
Wewe unapenda mwanamke au mumeo wa aje inawezekana uliye naye siyo wako ni wangu[emoji12] [emoji12]
MWanaume si lazima awe nazo Maana kuolewa ni Bahati ila kuoa ni mipangoUlivyozipangilia utadhani wewe huna mapungufu. Ni ngumu kumpata ambaye atakuwa nazo zote kwa asilimia 100 labda baadhi.
Hahahaha kweli[emoji2]Mwanamke Msabato halisi ana sifa zote hizo ulizozitaja. Hongera.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaani huyo ni mimi mkuu, Akati niko sekondari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wapo halisi na asilia but wanapigika mbayaMwanamke Msabato halisi ana sifa zote hizo ulizozitaja. Hongera.
Ahsante kwa kunitia moyo nadhani nitampataWapo wengi, sema tu hujamtafuta wa aina hyo.